Hata msipotwaa urais, ACT-Wazalendo mmefunika wote 'kifashoon'

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,012
Reaction score
5,571
Tuanze na Quote ya Tom Ford kwanza "Dressing well is a form of good manners".

ACT- Wazalendo wamejipanga kusuuza nyoyo zetu tunaopenda Mitindo. Najua mtasema nguo zinawasaidia nini wagombea? Maybe haziwasaidii lakini kongole lazima wapate.

I am not too political hivyo hata nikiangalia mgombea huwa kuna vitu naangalia zaidi ya Sera sijui Ahadi n.k. Actually ACT wako makini! Ni chama kinachochipukia, ni chama kipya kuliko vyote lakini wako organized. Matamko yao huwa yanaeleweka, wako organized unlike vyama vingine hususani vya upinzani tena vikongwe.

Sasa tuje kwenye mavazi. Maalim Seif, Membe, Zitto...they all look Mwaaahh! Perfect Designs, they look like they mean business. Wamependeza lakini sio kihuni at all! They look like you can introduce them to your father na akawaelewa!

Ningependa pia kumpongeza anayeshughulikia suala la picha kwa ACT. JOB WELL DONE!

All the best katika kampeni.


Mnataka kukabidhiwa nchi, you might as well look like it!

Sitosema lolote, nisionekane nimetumwa!

Ni aina ya mdada ambaye nikikutana naye nje ya washroom namuomba anishikie handbag yangu! Trustworthy!


Kuna upoaji flani hivi unakuwa nao ukijua umependeza

They look like they mean business, like how they should!

Kucheza na rangi muhimu, white means clean, pure and angelic!

Namna hii!
 
Mitupio/Kivazi
๐Ÿ˜๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„๐Ÿ˜…๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Yeah,

Wengine kuvaa manguo yenye rangi zaidi ya mbili tena mpangilio mbovu kama masweta ya wale jamaa ni taboo!

Hizo shirts za ACT itakuwa black label kutoka kwa Sheria Ngowi.
 
Yeah,

Wengine kuvaa manguo yenye rangi zaidi ya mbili tena mpangilio mbovu kama masweta ya wale jamaa ni taboo!

Hizo shirts za ACT itakuwa black label kutoka kwa Sheria Ngowi.

Kwa sekta hiyo Wamejipanga. I am very sure wamehusisha wataalamu
 
Kwasasa tukio la mkutano wao linatrend namba ngapi youtube? [emoji1787][emoji1787]
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†โœโœ
 
Ila wale wengine wana bando wamelipiwa na mabeberu au serikali? Au youtube imewahujumu waliopendeza wasitazamwe? Maana ukipendeka shurti utazamwe na kuonekana umependeza, hatupendezi chumbani watu wa Mungu[emoji23]
 
Ila wale wengine wana bando wamelipiwa na mabeberu au serikali? Au youtube imewahujumu waliopendeza wasitazamwe? Maana ukipendeka shurti utazamwe na kuonekana umependeza, hatupendezi chumbani watu wa Mungu[emoji23]

Mkuu, kama unataka ligi za kisiasa umepotea jukwaa.

ACT haina mashabiki zaidi ya hao unaowalinganisha nao. ACT bado chama kichanga wameanza juzi tu bado sana kutoboa especially kitaifa.

Hapa nimesifia mavazi. Kitu ambacho hata hao wanaotrend wangeweza kufanya kwa funds walizo nazo.

Sina energy ya malumbano ya kisiasa sijui followers. Kama una waliopendeza zaidi walete tuanze ligi ila habari za followers sijui nini nisamehe tu.
 
Ni kweli wamependeza Agnes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ