PreGE2025 Hata mwenendo wa Kiutendaji wa Msajili wa Vyama , unatosha tu kuungana na "NO REFORMS, NO ELECTION"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Ule Mkutano ,Wajumbe walijua wanaenda kumchagua Makamo wa Chama tu .

Ikapigwa chenga ambayo ikawaacha Wajumbe, kama lilivyo Bunge, kupiga makofi ,mayowe na mapambio mengi na kuwaondoa kwenye matumizi ya Akili ambayo yangewafanya wahoji.

Akatokea Mchungaji Malissa, yeye akahoji , akaishia kufukuzwa uanachama, haikuishia hapo Malissa anadai mambo mengi Kwa Sasa yanamfuata.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Tazama, Kila Msomi, Mwenye Busara na Hekima Nchini Kwa nafasi yake alisema "CCM imekiuka Katiba yao wenyewe ".

Ila Mpaka Leo hatujawahi kusikia Ofisi ya Msajili ikisema neno!!.

Hiyo Ndio Ofisi ya Msajili inayomtaka CHADEMA kujibu Hoja za MCHOME!!
 
"Ikapigwa chenga ambayo ikawaacha Wajumbe, kama lilivyo Bunge, kupiga makofi ,mayowe na mapambio mengi na kuwaondoa kwenye matumizi ya Akili ambayo yangewafanya wahoji."😀😀
 
Ule Mkutano ,Wajumbe walijua wanaenda kumchagua Makamo wa Chama tu .

Ikapigwa chenga ambayo ikawaacha Wajumbe, kama lilivyo Bunge, kupiga makofi ,mayowe na mapambio mengi na kuwaondoa kwenye matumizi ya Akili ambayo yangewafanya wahoji.

Akatokea Mchungaji Malissa, yeye akahoji , akaishia kufukuzwa uanachama, haikuishia hapo Malissa anadai mambo mengi Kwa Sasa yanamfuata.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Tazama, Kila Msomi, Mwenye Busara na Hekima Nchini Kwa nafasi yake alisema "CCM imekiuka Katiba yao wenyewe ".

Ila Mpaka Leo hatujawahi kusikia Ofisi ya Msajili ikisema neno!!.

Hiyo Ndio Ofisi ya Msajili inayomtaka CHADEMA kujibu Hoja za MCHOME!!
Very sad
 
Huyo Mchome ajiangalie huo ni mtego wa CCM,aikorofishe Chadema kikinuka wanammaliza na jumba bovu wanaangushiwa Chadema, Mchome popote ulipo jihadhari umeshameza ndoana ya wasiojulikana lazima watakuua tu,umeyatimba big time, kufa lazi wakuue tu.
 
Vizazi vya baadae watawaelewa sana Chadema ya Sasa. Reform ni lazima

It is worst of time for sure kuingia kwenye uchaguzi kwa hali hii

CEO wa NEC ni presidential apointee
Watumishi wa NEC ni UVCCM

Huo sio Uchaguzi ni mzaha
 
Huyu chama anajenga muda gani!? Aelimishwe, akiwa mbishi aonyeshwe mlango wa kutokea, Anafahamu yule wa ccm kilichomkuta
 
Vizazi vya baadae watawaelewa sana Chadema ya Sasa. Reform ni lazima

It is worst of time for sure kuingia kwenye uchaguzi kwa hali hii

CEO wa NEC ni presidential apointee
Watumishi wa NEC ni UVCCM

Huo sio Uchaguzi ni mzaha
Ongeza na hili
Maafisa uchaguzi huko halmashauri
Walimu wote hasa wale wasiojielewa ndo wasinamizi wa huo uchaguzi
 
Vizazi vya baadae watawaelewa sana Chadema ya Sasa. Reform ni lazima

It is worst of time for sure kuingia kwenye uchaguzi kwa hali hii

CEO wa NEC ni presidential apointee
Watumishi wa NEC ni UVCCM

Huo sio Uchaguzi ni mzaha
Hakika ni Mzaha wa hali ya juu.

There is Police -Government Symbiosis .

Njia ya Pekee ya kutawanyisha hili Dubwasha nii kuunga CHADEMA mkono Kwa maandamano Nchi nzima .

Ndani ya Police Kuna wale wahuni walo execute operation ya Kujaribu kumuua Tundu LISSU , Hawa wanajua kabisa, wasipoisaidia CCM kubakia madarakan , Upinzan ukichukua Nchi, watafikishwa katika Sheria.

Hili Kundi ndo limejiapiza, Kwa jasho na Damu Kwa kuua Kwa kuongea Kwa kufunga, CCM uendelee kutawala.

Sasa Dubwasha hili, linahitaji Mbinu mpya za Mwenyekiti LISSU.
 
Mutungi alivyo mpumbavu ndo anazidi kufanya hoja za CHADEMA kuonekana ni za msingi na za kweli.

Sasa naelewa kwa nini yule mke wake alimkimbia. Umalaya umemfanya asiwe na akili.
 
Back
Top Bottom