Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Very sadUle Mkutano ,Wajumbe walijua wanaenda kumchagua Makamo wa Chama tu .
Ikapigwa chenga ambayo ikawaacha Wajumbe, kama lilivyo Bunge, kupiga makofi ,mayowe na mapambio mengi na kuwaondoa kwenye matumizi ya Akili ambayo yangewafanya wahoji.
Akatokea Mchungaji Malissa, yeye akahoji , akaishia kufukuzwa uanachama, haikuishia hapo Malissa anadai mambo mengi Kwa Sasa yanamfuata.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tazama, Kila Msomi, Mwenye Busara na Hekima Nchini Kwa nafasi yake alisema "CCM imekiuka Katiba yao wenyewe ".
Ila Mpaka Leo hatujawahi kusikia Ofisi ya Msajili ikisema neno!!.
Hiyo Ndio Ofisi ya Msajili inayomtaka CHADEMA kujibu Hoja za MCHOME!!
😆😆😆😆Hiyo Ndio Ofisi ya Msajili inayomtaka CHADEMA kujibu Hoja za MCHOME!!
Vizazi vya baadae watawaelewa sana Chadema ya Sasa. Reform ni lazimaUle Mkutano ,Wajumbe walijua wanaenda kumchagua Makamo wa Chama tu .
Ikapigwa chenga ambayo ikawaacha Wajumbe, kama lilivyo Bunge, kupiga makofi ,mayowe na mapambio mengi na kuwaondoa kwenye matumizi ya Akili ambayo yangewafanya wahoji.
Akatokea Mchungaji Malissa, yeye akahoji , akaishia kufukuzwa uanachama, haikuishia hapo Malissa anadai mambo mengi Kwa Sasa yanamfuata.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tazama, Kila Msomi, Mwenye Busara na Hekima Nchini Kwa nafasi yake alisema "CCM imekiuka Katiba yao wenyewe ".
Ila Mpaka Leo hatujawahi kusikia Ofisi ya Msajili ikisema neno!!.
Hiyo Ndio Ofisi ya Msajili inayomtaka CHADEMA kujibu Hoja za MCHOME!!
Huyu chama anajenga muda gani!? Aelimishwe, akiwa mbishi aonyeshwe mlango wa kutokea, Anafahamu yule wa ccm kilichomkutaHuyo Mchome ajiangalie huo ni mtego wa CCM,aikorofishe Chadema kikinuka wanammaliza na jumba bovu wanaangushiwa Chadema, Mchome popote ulipo jihadhari umeshameza ndoana ya wasiojulikana lazima watakuua tu,umeyatimba big time, kufa lazi wakuue tu.
Ongeza na hiliVizazi vya baadae watawaelewa sana Chadema ya Sasa. Reform ni lazima
It is worst of time for sure kuingia kwenye uchaguzi kwa hali hii
CEO wa NEC ni presidential apointee
Watumishi wa NEC ni UVCCM
Huo sio Uchaguzi ni mzaha
Hakika ni Mzaha wa hali ya juu.Vizazi vya baadae watawaelewa sana Chadema ya Sasa. Reform ni lazima
It is worst of time for sure kuingia kwenye uchaguzi kwa hali hii
CEO wa NEC ni presidential apointee
Watumishi wa NEC ni UVCCM
Huo sio Uchaguzi ni mzaha