Hata Shetani likizeeka linakuwa malaika

Anaweza akawa kazeeka but what i know ni kua roho na akili haizeeki.. maisha yake yoote hajamueshimu huyo mwanamama na akarudi alipoona anahitaji sehemu permanent ya kurudi, kuhudumiwa (sidhani kama alirudi sababu alimpenda bali kumhitaji katika maisha yake) Uelewa wangu wanaume huanza kuchange walau from 28 plus.. atafanya uhuni but kwa adabu... akifika 35 plus bado anafanya mambo hayo kwa attitude alokua nayo chini ya 28... hawezi badilika... ni very rare...

MFANO MZURI

Hugh Hefner engaged to Crystal Harris: Playboy founder to marry Playmate 60 years his junior

BY DAVE GOLDINER
DAILY NEWS STAFF WRITER
Sunday, December 26, 2010

Playboy magazine founder Hugh Hefner celebrated the holidays with his newest plaything - announcing his engagement to bombshell girlfriend Crystal Harris.
Hefner, 84, said in a Twitter message from the Playboy Mansion in Hollywood that he'd given a ring to Harris, a 24-year-old former Playmate.
Harris, who posed for Playboy in her birthday suit last December, burst into tears at the news that the octogenarian mogul wants to tie the knot, he tweeted.
"This is the happiest Christmas weekend in memory," Hefner wrote.
Hefner later tweeted a second time to let friends and fans know that ring was not simply a Christmas gift for the sexy gal pal.
"Yes, the ring I gave Crystal is an engagement ring," the mogul wrote. "I didn't mean to make a mystery out of it. A very merry Christmas to all."

Asha hivi huyu mzee anaweza akawa bado hajabadilika kweli? nahisi hapo amefika kikomo...
na kuhusu huyu baba nahisi kuna jambo lililomfanya aogope kabisa mambo yake ya kihuni
 
I believe kwa yoote mawili yawezekana fikra zako...
Ila kwa upande wa Hefner.. umri wake kataka kuoa kitukuu.. i bliv it say it all...
 
I believe kwa yoote mawili yawezekana fikra zako...
Ila kwa upande wa Hefner.. umri wake kataka kuoa kitukuu.. i bliv it say it all...
Labda ndio limefikia kikomo hapo hahahahaha! hivi litamfanya nini huyo binti mchanga hivo
 
Labda ndio limefikia kikomo hapo hahahahaha! hivi litamfanya nini huyo binti mchanga hivo

Huyo babu kafika stage hata atumie viagra full doze inachukua nusu saa kua active... binti wa miaka 25.. anategemea nini??lol
 
Huyo babu kafika stage hata atumie viagra full doze inachukua nusu saa kua active... binti wa miaka 25.. anategemea nini??lol
Atakuwa amefata pesa zake tu hakuna mapenzi pale
 
shantel vipi mama......................?
mwanaume akitembeza rungu lake nje mnalalamika,
sasa amejirudi amekuwa wa kutulia home na kumjali mkewe,
nayo pia imekuwa shida..................lol....
 
Huyo babu kafika stage hata atumie viagra full doze inachukua nusu saa kua active... binti wa miaka 25.. anategemea nini??lol
Mh!Lakin dada kwani mahusiano lazima mechi?Si mnakaa tu!!
 
Hakuna malaika wa uzee,wakati ana nguvu mbona hakufanya anayopaswa kufanya Ukweli ni kwamba huwa wanajua pa kutulizia uzee wao na watu wa kuwatunza wapo (mke na watoto).
 
Mh!Lakin dada kwani mahusiano lazima mechi?Si mnakaa tu!!

Kaka tusidanganyane hapa... umekula maisha yakeo weeee, career yako imeshamiri tokana na
kupromote ngono leo hii binti mdogo unifuate eti mapenzi ya bila sex intimacy... Khaaa!!
 
Asha hivi huyu mzee anaweza akawa bado hajabadilika kweli? nahisi hapo amefika kikomo...
na kuhusu huyu baba nahisi kuna jambo lililomfanya aogope kabisa mambo yake ya kihuni
Atakuwa anaweka mkono tu hana lolote, alitakiwa aoe kikongwe mwenzake tu, ndio huuyu mzee utakuta nguvu zimemuisha ndio karudisha mlenda wake home
 
Kaka tusidanganyane hapa... umekula maisha yakeo weeee, career yako imeshamiri tokana na
kupromote ngono leo hii binti mdogo unifuate eti mapenzi ya bila sex intimacy... Khaaa!!

Mhh pia huwa sikaelewi kale kababu, kabla hajamuengage huyo Cristal alikuwa na yule dada anaitwa Holly
wakat Holly akihojiwa kwa kutendwa na kababu hicho na kwa kumvisha pete msichana mwingine bila yeye kujua
alishindwa hata kuongea kwa uchungu, "eti akawa anajutia muda wake wa miaka 7
aliyoishi na huyu babu kama GF na kumwahid atamuoa halafu mara kachumbia mwingine"
mhh nikajiuliza wewe nakubak nashangaa kha!
sidhan kama kuna mapenzi bali pesa za playboy....
 
Atakuwa anaweka mkono tu hana lolote, alitakiwa aoe kikongwe mwenzake tu, ndio huuyu mzee utakuta nguvu zimemuisha ndio karudisha mlenda wake home

umenichekesha kweli Gaga......
 
mwanaume ajapunguzwa kaz?
ela zipo km zaman/

ni ayo tu

km yupo levo tu bas ATAKUA AMEbadirika kweli..

hili linawezekana kabisa,
Kuna ndugu yangu mmoja, naye alikaa nje ya weee na wanawake kibao, mara hali yake kiuchumi ikashuka
akarudi kwa mke wake ambaye alikuwa mlokole, tena naye mwanaume akaoka kabisa. Na mke akawa anashuhudia jinsi Mungu
livyomkuu kwa kumrudisha mume wake nyumban.

Inataka moyo...
 
Mke ameonyeshwa mahali keshamlisha la kumlisha hana ujnja na joto ya jiwe ataiona .
 
Mh huyu mzee hajaokoka anapata lager kama kawaida na pesa anazo za kutosha tu yaani yule bibie anaishi maisha mazuri sana na mumewe, kasoro ilikuwa ni hiyo tu
 
shantel vipi mama......................?
mwanaume akitembeza rungu lake nje mnalalamika,
sasa amejirudi amekuwa wa kutulia home na kumjali mkewe,
nayo pia imekuwa shida..................lol....
Inategemea anarudi kivipi bacha, kuna wakati hata sie tunaogopa wakirudi, kama huyu kubadilika ghafla hivo mhhhh
 
Kile ki holly kilikuwa desperate for marriage sana mzee akastuka na kalikuwa kanataka mali tu, ila mzee alimpa mali za kutosha, na wakati anamchumbia kristal, holly alishaondoka pale kwenda kuanza maisha upya, nahisi hugh aliamua kum engage kristal kwa kumuumiza holly tu , cause hawajakaa sana kusema amempenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…