Hata Shetani likizeeka linakuwa malaika

Hata Shetani likizeeka linakuwa malaika

Kaka tusidanganyane hapa... umekula maisha yakeo weeee, career yako imeshamiri tokana na
kupromote ngono leo hii binti mdogo unifuate eti mapenzi ya bila sex intimacy... Khaaa!!
Hahahahahahahahahaha kwa kweli mechi muhimu sana kwa watu wenye meno 32
 
Hakuna malaika wa uzee,wakati ana nguvu mbona hakufanya anayopaswa kufanya Ukweli ni kwamba huwa wanajua pa kutulizia uzee wao na watu wa kuwatunza wapo (mke na watoto).
mbona shetani alikuwa malaika? inashindikanaje kinyume inawezekana chauro
 
Wakuu embu tujadili huu msemo, kuna mdada wa makamo alikuwa anasumulia jinsi alivyotoka mbali na
Mumewe, na jinsi alivyoteswa na huyo mume kiasi cha kuondoka home kwa mda wa mwaka na kwenda
kuishi na mwanamke mwingine

Baada ya mwaka huo akarudi akaomba msamaha kwa mkewe, wakabariki na ndoa maisha yakaendelea
ila uhuni ukaendelea kama kawaida, mara harudi kwake hata siku tatu, mke akaamua kuvumilia tu
sasa imepita miaka kibao na wana watoto watano, yule mwanaume kabadilika amekuwa yeye wa kumfata
mkewe hata salon na kumsubiria nje mpaka amalize, ofisini anaweza enda msubiria kuanzia saa tisa yuko
nje mpaka saa kumi na nusu......

Tatizo linakuja yule dada alishakufa ganzi moyo akawa anaishi maisha yake, wakati mume sasa hivi ndio
anajifanya kumuhitaji kuliko kitu chochote kile, ndio mwisho wa maongezi mdada mwingine akaibuka na huu
msemo eti hata shatani akizeeka anakuwa malaika.......Eti wakuu mnakubaliana na huo msemo???

Nawakilisha
Huyo **** kaishiwa na pengine anaugonjwa. Anataka mahali pa kujisitiri maana nyumba ndogo na marazi mbalimbali
 
Huyo **** kaishiwa na pengine anaugonjwa. Anataka mahali pa kujisitiri maana nyumba ndogo na marazi mbalimbali
hata mimi nina wasiwasi, wajameni tuwe makini sana na watu wa aina hii, ndio tufurahi wamerudi ila tuangalie na mambo mengine kama kupima afya na maslahi mengine, sio mtu keshachoka au kakanyaga huko anakuja kujituliza kwako, yaani wewe unakuwa mtu wa shida tu
 
Kile ki holly kilikuwa desperate for marriage sana mzee akastuka na kalikuwa kanataka mali tu, ila mzee alimpa mali za kutosha, na wakati anamchumbia kristal, holly alishaondoka pale kwenda kuanza maisha upya, nahisi hugh aliamua kum engage kristal kwa kumuumiza holly tu , cause hawajakaa sana kusema amempenda
Yeah Holy hakutegemea kbs kibabu kama kingemwachamoja moja. Huwa najiuliza kile kibabu kinaweza kuchezasebene kweli? Au ndo kwa mkono kama alivyosema Gaga...
 
hata mimi nina wasiwasi, wajameni tuwe makini sana na watu wa aina hii, ndio tufurahi wamerudi ila tuangalie na mambo mengine kama kupima afya na maslahi mengine, sio mtu keshachoka au kakanyaga huko anakuja kujituliza kwako, yaani wewe unakuwa mtu wa shida tu
Kweli kama hana ka ugonjwaBasi inmawezekana kajirekebisha jaman maana sisini binadamu tu tunaweza kuchange ki vyovyote ilaKupima muhimu sana hapo.
 
Yeah Holy hakutegemea kbs kibabu kama kingemwachamoja moja. Huwa najiuliza kile kibabu kinaweza kuchezasebene kweli? Au ndo kwa mkono kama alivyosema Gaga...
Pale ana keep his fingers walking....kama yellow pages vile.... hakuna kitu mtoto atakuwa anaambulia kupapaswa tu.... holy yana hana amani kabisa, na naona alitamani sana kuolewa na ukizingatia yeye age yake ni kubwa
 
Kweli kama hana ka ugonjwaBasi inmawezekana kajirekebisha jaman maana sisini binadamu tu tunaweza kuchange ki vyovyote ilaKupima muhimu sana hapo.
Tuombe Mungu awe ameamua tu kujirekebisha
 
Wakuu embu tujadili huu msemo, kuna mdada wa makamo alikuwa anasumulia jinsi alivyotoka mbali naMumewe, na jinsi alivyoteswa na huyo mume kiasi cha kuondoka home kwa mda wa mwaka na kwenda kuishi na mwanamke mwingineBaada ya mwaka huo akarudi akaomba msamaha kwa mkewe, wakabariki na ndoa maisha yakaendeleaila uhuni ukaendelea kama kawaida, mara harudi kwake hata siku tatu, mke akaamua kuvumilia tusasa imepita miaka kibao na wana watoto watano, yule mwanaume kabadilika amekuwa yeye wa kumfatamkewe hata salon na kumsubiria nje mpaka amalize, ofisini anaweza enda msubiria kuanzia saa tisa yuko nje mpaka saa kumi na nusu......Tatizo linakuja yule dada alishakufa ganzi moyo akawa anaishi maisha yake, wakati mume sasa hivi ndioanajifanya kumuhitaji kuliko kitu chochote kile, ndio mwisho wa maongezi mdada mwingine akaibuka na huumsemo eti hata shatani akizeeka anakuwa malaika.......Eti wakuu mnakubaliana na huo msemo???Nawakilisha
Huo msemo wa ukweli na unawataka mpunguze ulimbukeni coz haisaidii chochote kuruka ruka, binafsi sitaraji kumtenda sivyo my gf, akinizingua nampotezea kabisa!
 
Atakuwa anaweka mkono tu hana lolote, alitakiwa aoe kikongwe mwenzake tu, ndio huuyu mzee utakuta nguvu zimemuisha ndio karudisha mlenda wake home

Gaga kwa nilivyocheka lazima mbavu yangu moja itakua ina walakini phewww! lol
 
Gaga kwa nilivyocheka lazima mbavu yangu moja itakua ina walakini phewww! lol
Yaani na wewe umeona wababa wakiona zimeisha nguvu ndio wanarudi kwa wake zao, zimechokaaaaa zimewashukaaaaaa
 
Back
Top Bottom