Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
una uhakika alikwisha kufa ganzi au alipata njemba ya kumliwaza machungu ya mzee wake??????????????????????Tatizo linakuja yule dada alishakufa ganzi moyo akawa anaishi maisha yake, wakati mume sasa hivi ndio anajifanya kumuhitaji kuliko kitu chochote kile, ndio mwisho wa maongezi mdada mwingine akaibuka na huu msemo eti hata shatani akizeeka anakuwa malaika.......Eti wakuu mnakubaliana na huo msemo???