Hata Shetani likizeeka linakuwa malaika

una uhakika alikwisha kufa ganzi au alipata njemba ya kumliwaza machungu ya mzee wake??????????????????????
 
mwanaume ajapunguzwa kaz? ela zipo km zaman/ ni ayo tu km yupo levo tu bas ATAKUA AMEbadirika kweli..
Rose1980............................hii ni hoja nzito ...............................wanaumme wengi wakikamatwa na majanga ndiyo hukumbuka kuwa wanaowapenda kikweli kweli...................................wale wachunaji huwa wametoweka na hivyo hana jinsi...............hutimiza msemo usemao..................usiache mbachao kwa msala upitao....................................labda Shantel atuelimishe khali ya kiuchumi wa huyu mjamaa...........................kabla ya kusema amejirudi na kujutia harakati zake za pimbi..................................
 
Kasema yupo fresh kwenye posts zake hapo juu
 
Unajua jamii huwa inapamba maneno. Inawezekana alihama kwa sababu ya maudhi ya mkewe. Tatizo la wanawake huwa warahisi kuongea ila sisi wanaume huwa warahisi wa kutenda. Wiffe akinikosea sina haja ya kumtangaza ... ni ku-take action tu.
Kwani wanaume nao hawana maudhi? unajua kwenye ndoa mnakutana kila mtu anatabia zake mnaanza kucorp sasa... hapo wenzetu wanapenda tuache tuliyoyazoea na tufate ya kwao, tuache marafiki zetu tuwe marafiki wa wake za marafiki zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…