kwi kwi kwi bingwa la kuharibu !!sasa si amesoma nae?sema anataka amuonjeshe na mgegedo wake !!haki ya nani mimi nisingemuacha hata ningekua na nyumba ndogo zingine 10(INAONGEZA HADHI YA KIUME)Kama unajijua una mpenzi inatakiwa kuwe na mipaka kwa hao marafiki zako,
ushalikoroga mpe tu hizo hela
mi ningekuwa huyo dem nakuomba tu, yani naomba tu
eti una mpenzi hata sisimizi nae ana mpenzi wake
Nina rafiki yangu wa kike tulisoma nae elimu ya sekondari tulipendana kama marafiki na alikuwa akinipenda sana ila mimi sikumpenda kimapenzi japo ni mzuri
sasa mkuu mambo yangu mimi hayamuhusu,hakuna ulazima wa yeye kujua mimi nipo kwenye uhusiano,ishtoshe kipindi tunasoma nilikuwa na mpenzi sikujua kama alijua au hakujua kutokana na tabia zangu za upole na kuwa serious sana.Umeshamfahamisha kuwa wewe una mtu wako? Maana haya mambo mengine huwa tunayatengeneza wenyewe halafu mwishoni tunalalamika, kwa mfano ulichukua hatua gani alivyokuita Baby wakati wewe upo kwenye mahusiano mengine ambayo unayaheshimu?
mkuu ni binti mzuri kaumbika sana tatizo simtamani kimapenzi hata kidogo.Kuhusu suala la namba nisamehe bure itakuwa si ungwanakwi kwi kwi bingwa la kuharibu !!sasa si amesoma nae?sema anataka amuonjeshe na mgegedo wake !!haki ya nani mimi nisingemuacha hata ningekua na nyumba ndogo zingine 10(INAONGEZA HADHI YA KIUME)