Hata sijamtongoza

Hata sijamtongoza

its elastic material .... very mwaaaa afu tamu sana mkuu ila toa hela kwanza afu nikupe kipapuchi

hahahaa.. Huwa nazitafuna bureee!
Kama watoa bure poa tu, zaidi sana utapata hela ya taxi, supu, sabuni ya kukioshea!!
 
hahahaa.. Huwa nazitafuna bureee!
Kama watoa bure poa tu, zaidi sana utapata hela ya taxi, supu, sabuni ya kukioshea!!

aku mie sabuni ukinipa M1 inatoka huko huko nakuwa nimeingiza na kipato loh
 
Habarini wana JF,

Nina rafiki yangu wa kike tulisoma nae elimu ya sekondari tulipendana kama marafiki na alikuwa akinipenda sana ila mimi sikumpenda kimapenzi japo ni mzuri,miaka minne imepita sikuwa na mawasiliano nae kwa sababu nilikuwa mbali nikiendelea na masomo ya juu, yeye yupo Arusha na mimi nilirejea Dar,akapata mawasiliano yangu tukawa tunawasiliana alilalamika sana sababu sikutaka kumtafuta,akaanza kuniomba vocha,pesa vyote nilimsaidia kibinadamu.

Nimekuja kushtuka jana baada ya kuniambia baby naomba hela nikanunue kuna nguo nimeipenda halafu wiki ijayo nakuja.

Msaada jaman na mimi nina mpenzi wangu.

HAHAHAH KWAHYO UNADHNI KUITWA BEBI NDIO KAKUPENDA MWENYEWE HAHAHAH hhahahahaha
 
ukawaida unaangalia umbo au kipapuchi ndo kizuri we usiangalie housing utapotea mtoto mimi kipapuchi ndo balaa ukiingia hutoki
housing ikiniridhisa najua hata injini itakuwa mwakemwake sasa housing yenyewe ndo hiyo sasa injini si itakua Indian ocean,halafu kijogoo nibaki kupiga mbizi tu
 
Wee bwana vipi? angekuheshimu angekuita baby? halafu kwanini unarefusha mambo wakati kidude chenyewe umerithishwa na babu? mpe halafu mwambie asizoeee kwani kina wenyewe!
makaavu laivuuuu...
 
housing ikiniridhisa najua hata injini itakuwa mwakemwake sasa housing yenyewe ndo hiyo sasa injini si itakua Indian ocean,halafu kijogoo nibaki kupiga mbizi tu

najua kinachokukimbiza we ni walet geji haisomi
 
mpe afu kama atakuja mfokoe be a gentleman jombaa
 
ha ha ha ha ha ha ha sasa akikwambia anakuja si unajua kinachofuata aisee??
 
suala la wallet ondoa shaka ATM iko vizur hapa.basi tuwekeane promise nionje ladha ya papuchi yako ikiwa ya mnato Wallah utanichuna utakavyo yelewuuu

tuma millioni moja kwanza kwa ajili ya usafiri
 
Back
Top Bottom