Hata sijamtongoza

Hata sijamtongoza

Habarini wana JF,

Nina rafiki yangu wa kike tulisoma nae elimu ya sekondari tulipendana kama marafiki na alikuwa akinipenda sana ila mimi sikumpenda kimapenzi japo ni mzuri,miaka minne imepita sikuwa na mawasiliano nae kwa sababu nilikuwa mbali nikiendelea na masomo ya juu, yeye yupo Arusha na mimi nilirejea Dar,akapata mawasiliano yangu tukawa tunawasiliana alilalamika sana sababu sikutaka kumtafuta,akaanza kuniomba vocha,pesa vyote nilimsaidia kibinadamu.

Nimekuja kushtuka jana baada ya kuniambia baby naomba hela nikanunue kuna nguo nimeipenda halafu wiki ijayo nakuja.

Msaada jaman na mimi nina mpenzi wangu.

Ivi elimu unayosoma haiwezi kukusaidia kutatua tatizo ka ilo?
 
Ulimu "entertain" mwenyewe, kwanini kuanzia mapema hukumueleza maisha yako ya kimapenzi yakoje, jamani, women are hunters too?? in this jungle of love do not think that men are the only hunters.

CC Homie wangu Karucee na hunter wangu eksi kidumu King'asti
 
Last edited by a moderator:
aaaahha jaman kwani nini wew mtumie tu uone mwitikio wake na kama atakuja mpe kinachostahili mmmmh
 
kwa wewe ninavyokujua labda nikukopeshe na tunaandkishana kabisa kwa mwanasheria ili ukinizingua nuza kamjengo.Siwezi kununua papuchi bei gali hivyo,kwani ina Gold?

Papuchi yangu we ni tamu sana .... wanasema dont try this utaganda mkuu na kujifilisi mwenyewe .... kuna papuchu uwezi ipa hadhi ya madini we acha kabisa
 
Ndo unajisifu kwamba umependwa hapo? Pesa ndo imependwa mkuu!
 
Ulimtengenezea njia mwenyewe mwache apite tu.
 
Ndo unajisifu kwamba umependwa hapo? Pesa ndo imependwa mkuu!
huyo toka enzi hizo tunasoma ananipenda sana kafanya vitu vingi kwa ajili yangu ndio sababu akihitaji msaada namsaidia
 
Papuchi yangu we ni tamu sana .... wanasema dont try this utaganda mkuu na kujifilisi mwenyewe .... kuna papuchu uwezi ipa hadhi ya madini we acha kabisa
pesa makaratasi starehe garama si tatizo nitumie picha na address nitakufata popote ulipo wala sikuambii uje meeda wala bilcan
 
Pouwa ma physical address ni kilaracha kwa elisonguo bar hapo nyuma utanikuta napenda kuongea sana
 
mkuu ni binti mzuri kaumbika sana tatizo simtamani kimapenzi hata kidogo.Kuhusu suala la namba nisamehe bure itakuwa si ungwana

mimi nataka nikurahihishie kazi asikusumbue tena
 
Si umwambie tu usije mi nina mpenzi wangu, apologies if u misunderstood me! Issue mbona simple tu, au mi ndo nipo too direct...?!
 
Habarini wana JF,

Nina rafiki yangu wa kike tulisoma nae elimu ya sekondari tulipendana kama marafiki na alikuwa akinipenda sana ila mimi sikumpenda kimapenzi japo ni mzuri,miaka minne imepita sikuwa na mawasiliano nae kwa sababu nilikuwa mbali nikiendelea na masomo ya juu, yeye yupo Arusha na mimi nilirejea Dar,akapata mawasiliano yangu tukawa tunawasiliana alilalamika sana sababu sikutaka kumtafuta,akaanza kuniomba vocha,pesa vyote nilimsaidia kibinadamu.

Nimekuja kushtuka jana baada ya kuniambia baby naomba hela nikanunue kuna nguo nimeipenda halafu wiki ijayo nakuja.

Msaada jaman na mimi nina mpenzi wangu.

Wasiwasi wako nini mkuu? Kasema anakuja hakusema anakuja kwako!
 
Si umwambie tu usije mi nina mpenzi wangu, apologies if u misunderstood me! Issue mbona simple tu, au mi ndo nipo too direct...?!

Mkuu, ukiona hivyo ujue mtu anavunga ili atafune, lol
..kipi kinamshinda kusema nina rafiki/mchumba/sex buddy..et al?
 
Back
Top Bottom