100% ready....
Lets ride....
Waage kina Magulumangu kabisa maana nxt time watakuona kwenye tv na kukusikia redioni!!
too biased........majina yote ya wabeijing!!!!!!
asha d s[/COLOR]itokuacha,
sweetlady yu mahiri,lizzy ye muarusha,
Brackberry stahiri,kukuacha tutaisha,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,
,
Hahhahaa...weweeeee!!!! Lizzy we Mkareeee yani wala si ordinariii iwe kitaa, jamvini hata darasani..... Looking forward to our successful journey....
Hahhahaa...
Mi mkareee we mkareee
Tukitembea wote sare sare...
Tunasonga mbele huku tukipare...tukiparee tukipareee
Kina Magulumangu wao watabaki pare pare!
Lizzy uzalendo umenishinda mpenzi mana safari yetu iko....
cash and carry in a hurry, karee
carry forward, Magulumangu, haree
safari za mbalimbali, karee
biashara mbare mbare, karee
hatuchoki na hii safari, karee
sauti za kinyumbani, karee
Asha D, Lizzy bright, Karee
Hahahahah wifi huyu anajenga bwana habomoi!!!Mume wangu akikubali ntakushirikisha.....sauti ya ngapi kwanza wewe??
Usiogope bana, tena mwendelezo utakua bomba... omba tu ruhusa kwa umuogopae.... usione aibu.
Mhhhh kazi ipo!!!Alafu nimeona umesema we ni kifisadi fulani....haya niambie una vijisenti vingapi nijisogeze!!!
Mmerudi kivingine. Haya bana
Bana angalia fidbak Mdada Lizzy kani Train mpaka karibia nafika nusu ya level yako kwa darasa moja... Fanya haraka sana kunipongeza.... Nimetunga bonge moja la shairi la mapenzi..... kwa raha zangu ....
Magulumangu ni kawivu haka nakaona????
Lets ride....
Waage kina Magulumangu kabisa maana nxt time watakuona kwenye tv na kukusikia redioni!!
Mhhh.....Hata mzee kanusa dalili za hatari.....Ni mwanzo mzuri lakini.
Ila jamaa anaweza kuwa katika hatua nzuri sana ya kujifunza kuwinda!!
Mzee DC.
Magulumangu nashukuru saana kwa wewe kunirusha pamoja na mwalimu/partner in business wangu (nilompata humu humu) baada ya kuonesha u star wako katika utunzi. Tokana na ukweli kwamba tayari maisha yetu yamekua na matumaini zaidi hivyo kuhitaji nguvu zetu zote kuweza fanikiwa, nimeshauriwa na huyu mrembo Lizzy kua wakati wa kuaga umefika; nakushauri malizia ushairi wako na uweze weka mastaa wooote ulo wasahau na wale ulikua bado unawaorodhesha.... Asante sana....lol
Hahhahaa...
Mi mkareee we mkareee
Tukitembea wote sare sare...
Tunasonga mbele huku tukipare...tukiparee tukipareee
Kina Magulumangu wao watabaki pare pare!
Lizzy uzalendo umenishinda mpenzi mana safari yetu iko....
cash and carry in a hurry, karee
carry forward, Magulumangu, haree
safari za mbalimbali, karee
biashara mbare mbare, karee
hatuchoki na hii safari, karee
sauti za kinyumbani, karee
Asha D, Lizzy bright, Karee
Namwogopa Lizzy na wifi yake...
Hongera sana AD nimeona wewe noma na Lizzy ni mwalimu muzuri muno....
Naiita -aree staili[/B]
Mkuu you will always be Namba moja .... Sie lengo sio kubwa saaana... ni just to be on top.... Alafu hio home work nakusihi tu ufanye Mkuu...