Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Magulumangu are you single?????
hahahahahahahah lol.. asante sana 🙂
😀
 
Tumia ukali kidogo... Lizzy akikikutana na a guy mkali kidogo anaishiwa pozi kabisaaa....


Duh basi nimekoma maana ukali na mimi ni simba na swala, sasa kumbe yeye siri yake ni wale wa mara? hahahahahaha
 
magulumangu, aksante kwa shairi, japo nimechelewa kuliona. Limetulia, kweli hata sisi ni staa.
 
Ai ai ai ai ai ai,...
so siku hizi watu wa TRC kazi yenu ni kuandika mashairi tu?
ops,kumbe sipo kwenye siasa,...
mashairi bomba sana mkuu
mkuuuu hatamimi nimeingia choo cha kike! kumbe kwangu ni siasani!
 
Shairi limetulia
Hongera Magulumangu
Nawasubiri kwenda kuwarusha
leo w/end ni pare pare kwa yule mkare
 
ha ha ha a,next utenzi uwe kuhusu upcoming staa...just like me

Jamani mzuri kwetu sijawaacha hata kidogo hilo lilikuwa duru la kwanza, more to come wote watatajwa hapa....and I mean it....
 
Upendeleo umezidi kwanini wanawake watupu tuuu


Mbona wanaume hamlidhiki jamani? halafu hamsomi mistari yote, nimesema hili ni duru la kwanza...Nahau jamani jamani....mie ni gentlemen pia ladies first na kama unaona unanyanyapawa basi jiweke wa kwanza...
 
Back
Top Bottom