Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Magulumangu are you single?????
hahahahahahahah lol.. asante sana 🙂
😀
 
Tumia ukali kidogo... Lizzy akikikutana na a guy mkali kidogo anaishiwa pozi kabisaaa....


Duh basi nimekoma maana ukali na mimi ni simba na swala, sasa kumbe yeye siri yake ni wale wa mara? hahahahahaha
 
magulumangu, aksante kwa shairi, japo nimechelewa kuliona. Limetulia, kweli hata sisi ni staa.
 
Ai ai ai ai ai ai,...
so siku hizi watu wa TRC kazi yenu ni kuandika mashairi tu?
ops,kumbe sipo kwenye siasa,...
mashairi bomba sana mkuu
mkuuuu hatamimi nimeingia choo cha kike! kumbe kwangu ni siasani!
 
Shairi limetulia
Hongera Magulumangu
Nawasubiri kwenda kuwarusha
leo w/end ni pare pare kwa yule mkare
 
ha ha ha a,next utenzi uwe kuhusu upcoming staa...just like me

Jamani mzuri kwetu sijawaacha hata kidogo hilo lilikuwa duru la kwanza, more to come wote watatajwa hapa....and I mean it....
 
hahahahahahahahah nasikia lizzy ndo anafundisha vina kumbe wewe ndo mtungaji wake hahahahaha siri iko fichuka...

Aaaaah Magulumangu sasa unaunguza picha, Lizzy usijali hivi ni vijimambo tu!!!
 
Shairi limetulia
Hongera Magulumangu
Nawasubiri kwenda kuwarusha
leo w/end ni pare pare kwa yule mkare


mhhhh hapo pare pare lazima nije na mimi ila Lizzy ananiogopesha maana ananikalipia mno....
 
Upendeleo umezidi kwanini wanawake watupu tuuu


Mbona wanaume hamlidhiki jamani? halafu hamsomi mistari yote, nimesema hili ni duru la kwanza...Nahau jamani jamani....mie ni gentlemen pia ladies first na kama unaona unanyanyapawa basi jiweke wa kwanza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…