Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aristotle alishasema katika maandiko yake kwamba "human being are political animals".mwisho wa kunukuu.Hizi ni tuzo za mihemuko tu.
Kuna wakati ribery ndio alipaswa kushinda ila ghafla tukaona ronaldo anapewa
Kuna ronaldo ndio alitakiwa kushinda ila ghafla akapewa messi
Kwl mkuuAristotle alishasema katika maandiko yake kwamba "human being are political animals".mwisho wa kunukuu.
siasa ni maisha. kila mahali ni siasa, kwenye nyumba za ibada kuna aina ya siasa zake, kwenye biashara kuna aina ya siasa yake, kwenye mahusiano kuna aina ya siasa yake, kwenye kila familia kuna aina ya siasa yake n.k
Infact, hakuna mahali unaweza kukwepa siasa, ispokua ikiwa kama mtu hafahamu kwamba kila kinachofanyika na kuendelea, mathalani kwenye michezo ni siasa ya michezo katika mpira wa miguu, ipo siasa katika riadhi, ngumi n.k🐒
Kama ubingwa wa yanga tuHizi ni tuzo za mihemuko tu.
Kuna wakati ribery ndio alipaswa kushinda ila ghafla tukaona ronaldo anapewa
Kuna ronaldo ndio alitakiwa kushinda ila ghafla akapewa messi
Yanga kakutia mimba mara 4
Unakosea kusema Kuna wakati alitakiwa kushinda fulani, halafu akashinda fulani. Umetumia vigezo gani kujua nani alitakiwa ashinde!?,nini maana ya kuchuana kama tayari una majibu mfukoni!?,unalaumu siasa wakati ulichokileta ndo siasa yenyewe. Kwasababu kipindi fulani ulitaka ashinde fulani, asiposhinda ndo siasa!????... Au wewe ndo unaleta siasa bila kujua!?Hizi ni tuzo za mihemuko tu.
Kuna wakati ribery ndio alipaswa kushinda ila ghafla tukaona ronaldo anapewa
Kuna ronaldo ndio alitakiwa kushinda ila ghafla akapewa messi
Media zinamkuza kwa nani?.Maana wenye kumpendekeza ni wao wenyewe wanaoishi naye uko na wanamuona akicheza kwa macho wala hawahitaji kupata taarifa zake kwenye media wala mitandao.Sasa unasemaje media zinamkuza.Mimi ninayetazama mpira kwenye TV kwaakili zangu timamu bila kushawishiwa na media au mitandao naona jamaa alistahili ila wenye kuamua wameona wamchague mshindani wake kwasababu wanazozijua wao.Vini media zinamkuza tu
Ni player wa kawaida mno
Ni Kwa vile yupo Madrid
Ila vini na matinel pale Arsenal ni sawa tu
Jifunze kumheshimu mawazo ya wengiMedia zinamkuza kwa nani?.Maana wenye kumpendekeza ni wao wenyewe wanaoishi naye uko na wanamuona akicheza kwa macho wala hawahitaji kupata taarifa zake kwenye media wala mitandao.Sasa unasemaje media zinamkuza.Mimi ninayetazama mpira kwenye TV kwaakili zangu timamu bila kushawishiwa na media au mitandao naona jamaa alistahili ila wenye kuamua wameona wamchague mshindani wake kwasababu wanazozijua wao.
hizo siasa mbona hainatofauti na ushindi wa yanga dhidi ya simbaHizi ni tuzo za mihemuko tu.
Kuna wakati ribery ndio alipaswa kushinda ila ghafla tukaona ronaldo anapewa
Kuna ronaldo ndio alitakiwa kushinda ila ghafla akapewa messi
Vini media zinamkuza tu
Ni player wa kawaida mno
Ni Kwa vile yupo Madrid
Ila vini na matinel pale Arsenal ni sawa tu
Jifunze kumheshimu mawazo ya wengi
Sio kila unachotaka ww kitatokea
Wengi wanaona Rodri alistahili kabisa
Duniani Kwa Sasa hakuna kiungo mkabaji kama Rodri
Ameibeba Spain yenye makinda wengi wakabeba euro
Pale city ndo engine
Ana nidhamu kubwa
Utamnyima vip tuzo?
Kwahiyo kwa maoni yako uliona nani alistahili hiyo ballon d'or?Ulaya hakuna tofauti na Africa mkuu, binaadamu wote ni sawa. Hizi tunzo ni TAKATAKA kitambo sana
Kwahiyo kwa maoni yako uliona nani alistahili hiyo ballon d'or?
huyo wa worst season hujaongelea overall play yake......