Hata soka lina siasa, ilianza ya Messi kuchukua tuzo ya Erling, leo ni Rodri kuchukua ya Vini

Hata soka lina siasa, ilianza ya Messi kuchukua tuzo ya Erling, leo ni Rodri kuchukua ya Vini

2 time champion league winner
3 times la Liga winner
Dogo ana same number of assist na Messi kwenye champion league knockout stages
2 champion league final goals
Dogo amebandika hatrik ya kibabe ndani ya UEFA CHAMPION LEAGUE

Unaanzaje kumfananisha na TAKATA ambayo hata ndodo cup hajawahi kubeba?
Wewe hujui mpira
Vini ni player wa kawaida mno
Hizo hatrick zishafungwa sana
Lookman wa Atalanta kafunga hat trick final
Lakini sio Bora sana

Vini ana magoli 14 Kwa msimu,Sasa huyo utampa ballon dor siutakuwa chizi

Angalia viungo kama Rodri kazi wanazofanya
 
hiyo kazi Rodri aliifanya wapi? timu yake iliishia robo fainali champion league, hakuwemo hata kwene top ya PL players of the season
 
Opera Snapshot_2024-10-31_163208_Ga-64bubUAAGzP7.jfif.png
 
Wewe hujui mpira
Vini ni player wa kawaida mno
Hizo hatrick zishafungwa sana
Lookman wa Atalanta kafunga hat trick final
Lakini sio Bora sana

Vini ana magoli 14 Kwa msimu,Sasa huyo utampa ballon dor siutakuwa chizi

Angalia viungo kama Rodri kazi wanazofanya
Kwa tuzo wanatoa kwa kuangalia magoli?
 
Hizi ni tuzo za mihemuko tu.

Kuna wakati ribery ndio alipaswa kushinda ila ghafla tukaona ronaldo anapewa

Kuna ronaldo ndio alitakiwa kushinda ila ghafla akapewa messi

Ni aibu kuongea haya, lete takwimu hapa za Lautaro Martinez, vinicius na Rodri, ndio utajua muargentina ndie alipaswa kuchukua tuzo hiyo, huyo mbrazili mtoe kabisa, arudi kwao brazili.
 
Vini media zinamkuza tu
Ni player wa kawaida mno
Ni Kwa vile yupo Madrid

Ila vini na matinel pale Arsenal ni sawa tu

Mashabiki wa ronaldo wengi wao wamekasirika 😄 cha ajabu wameng'ang'ana na mtu wao timu moja na ronaldo, ila Lautaro Martinez hawamzungumzii.

Binafsi Lautaro ndie alipaswa kupewa, japo nimefurahia rodri kupewa.

Vinicius arudi kwao brazili
 
2 time champion league winner
3 times la Liga winner
Dogo ana same number of assist na Messi kwenye champion league knockout stages
2 champion league final goals
Dogo amebandika hatrik ya kibabe ndani ya UEFA CHAMPION LEAGUE

Unaanzaje kumfananisha na TAKATA ambayo hata ndodo cup hajawahi kubeba?
Jina la messi usiliambatanishe na huyo mbrazili tafadhali

Weka statistics za Lautaro Martinez na vinicius, na sio mapenzi
 
Martinez ana kila sababu ya kuchukua, vinicius hana nidhamu, na wanaomponda rodri wengi wao mashabiki wa ronaldo.

nidhamu ya aina gani? mbona hatujawahi kuona kufungiwa?

Rodri hakua nasifa ya hata kuingia kwenye kinyang'anyiro achilia mbali kushinda
 
Back
Top Bottom