Aisee nimetokea kumpenda bure huyu mama Nancy Pelos jamani. katikati ya mijabali miwili inayotunishiana misuli, mama anatembea kwa madaha bila wasiwasi wowote. Hili hata Trump, pamoja na kujitia kichaa, asingeweza! Hili hata yule msema hovyo aliyetimuliwa uPM kule UK, Bojo, asingeweza.
Nilipomuona anaichana ile hotuba ya Trump 'live' nikajua anadeka tu nyumbani, kumbe ni mtata kweli aisee!
Kwenye kuipigania democracy, wanamtambua vizuri mambo tu ya mapenzi ya watu lakini hapa Hillary Clinton haingii hata kwa robo yake kwa shostito wake huyu!
Tungewapata kina Nancy Pelosi kama watano hivi hapa Bongo bila shaka tungelikuwa mbali sana!!