Hata Trump haamini, amebaki kinywa wazi na kushindwa kutweet chochote mpaka sasa!

Unadhani ilikuwa ni rahisi kwa mwanamke kujihusisha na mapambano ya kudai Uhuru miaka ya 1950s na by the way alitoka kwa msamaha wa huyo huyo Mwalimu siasa ni mchezo mchafu unafahamu varangati la Mwalimu na Oscar . Siasa ni chuki hata Mao Zedong aligombana na Deng Xiaoping na akamfuta kwenye chama kabisa siasa ni uadui na chuki ndipo mahali pake . Hakuna ajuaye kosa la kamanda Bibi titi Mohammed kufungwa na Mwalimu.
Nyerere alikuwa na hila nyingi Sana lkn pia alikuwa mdini na aliyeamini akili zake kuliko wenzake
 
Sio siri tangu nakua nakupata hisia za mapenzi nimekua nikivutiwa mno na wanawake shupavu... energetic and brilliant.

Huyu Nancy Pelosi, Kamala Haris, Michelle Obama, Hillary Clinton, Condoleeza Rice, Martha Karua hunivutia mno. Hata wanawake niliowahi date nao ni wa kariba hiyo.
awana lolote kwasababu tu wapo kwenye nchi ambazo democraacy imeendelea wangetakiwa waishi kwenye dunia hii ya tatu na wafanye iki wanachokifanya ndio ningewakubali waje africa waturhibitishie umwamba wao
 
Nyerere alikuwa na hila nyingi Sana lkn pia alikuwa mdini na aliyeamini akili zake kuliko wenzake
Kuna baadhi ya sehemu upo sahihi kabisa mfano hila kwenye hila hili linawakumba wanasiasa karibu wote hasa hasa wale wenye nyazifa za juu za uongozi ndani ya chama au hata nchi . Wao uhofia zaidi nafasi zao pale ambapo anapo tokea mtu ndani ya chama au nchi akahatarisha nafasi zao iwe awe anakubalika Sana na watu au mkosoaji mkubwa au hata awe ana hoja dhabiti zinazo kinzani na yeye na hapa hili jinamizi hata Mwalimu lili mpitia ndani ya TANU na hata ndani ya Nchi na hili jinamizi likaendelea kuwapitia hata watawala wengine waliofuatia mfano Mkappa na Jenerali Ulimwengu, Kikwete na Dr slaa, Magufuli na Lissu , Samia na Mbowe , Mao Zedong na Deng Xiaoping , Deng Xiaoping na Gang of four n.k Mwisho wa siku siasa inapaswa kuwa sio uadui bali upendo. Jambo lengine ulilozungumzia ni kuamini katika akili zako kuliko wengine hii ipo 50/50 muda mwengine wewe Kama kiongozi shupavu unapaswa kushikilia kile unachokiamini na kukitekeleza bila kuyumba mfano. matunda ya sasa ya China ni kutokana Deng Xiaoping kuamini kile alichokiamini tokea hata wakati Mao Zedong yupo hai alizipinga wazi wazi sera zake za Mao Zedong ambazo badae hazikuzaa matunda Jambo lililopekea kufutwa uanachama wakati wa uhai wa Chairman Mao baada ya kufa Mao Zedong na kurudishwa chamani na kuchukua hatamu ya uongozi wa China alisimamia na kuzitekeleza zile sera zilizokuwa zinaenda kinyume na Mao Zedong alivyokuwa anataka lakini hizo sera ndizo zimeifanya leo hii China kuwa bora kiuchumi. Lakini muda mwingine ukiamini Sana akili zako kuliko za wengine zinaweza pia kukuangusha mfano Mao Zedong [ Great leap forward na Cultural revulution ] zote hizi zilileta maafa China yasiyoelezeka , hata Mwalimu muda mwingine alikuwa na hii Imani Kama ya Mao Zedong kitu kilicho pelekea ujamaa wake katika uchumi kuangukia pua sijui alishindwa wapi hata kujifunza kwa Singapore ya. Lee Kuan Yew na China ya Deng Xiaoping na mwalimu aligombana na wanachama wake wa TANU mfano ni huyo Bibi Titi Mohammed Licha ya kuwa walikuwa marafiki wakubwa Mwisho wa siku utofauti wa mawazo na sera vikawagombanisha. Kuhusu swala la udini Sina uhakika sana Kama Mwalimu alikuwa ni mdini labda kwa ambao waliishi nae karibu Sana.

# SIASA SIO UADUI SIASA NI UPENDO.
 
Sio siri tangu nakua nakupata hisia za mapenzi nimekua nikivutiwa mno na wanawake shupavu... energetic and brilliant.

Huyu Nancy Pelosi, Kamala Haris, Michelle Obama, Hillary Clinton, Condoleeza Rice, Martha Karua hunivutia mno. Hata wanawake niliowahi date nao ni wa kariba hiyo.
Kamala Harris kasusa kuwa Vice maana hasikiki waka kuonekana
 
Aisee nimetokea kumpenda bure huyu mama Nancy Pelos jamani. katikati ya mijabali miwili inayotunishiana misuli, mama anatembea kwa madaha bila wasiwasi wowote. Hili hata Trump, pamoja na kujitia kichaa, asingeweza! Hili hata yule msema hovyo aliyetimuliwa uPM kule UK, Bojo, asingeweza.

Nilipomuona anaichana ile hotuba ya Trump 'live' nikajua anadeka tu nyumbani, kumbe ni mtata kweli aisee!

Kwenye kuipigania democracy, wanamtambua vizuri mambo tu ya mapenzi ya watu lakini hapa Hillary Clinton haingii hata kwa robo yake kwa shostito wake huyu!

Tungewapata kina Nancy Pelosi kama watano hivi hapa Bongo bila shaka tungelikuwa mbali sana!!
Tangu lini trump yupo Twitterl.
 
Unadhani ilikuwa ni rahisi kwa mwanamke kujihusisha na mapambano ya kudai Uhuru miaka ya 1950s na by the way alitoka kwa msamaha wa huyo huyo Mwalimu siasa ni mchezo mchafu unafahamu varangati la Mwalimu na Oscar . Siasa ni chuki hata Mao Zedong aligombana na Deng Xiaoping na akamfuta kwenye chama kabisa siasa ni uadui na chuki ndipo mahali pake . Hakuna ajuaye kosa la kamanda Bibi titi Mohammed kufungwa na Mwalimu.
Wewe Pimbi Bibi Titi hana lolote zaidi ya kupika vitumbua na kalmati.
 
Kuna baadhi ya sehemu upo sahihi kabisa mfano hila kwenye hila hili linawakumba wanasiasa karibu wote hasa hasa wale wenye nyazifa za juu za uongozi ndani ya chama au hata nchi . Wao uhofia zaidi nafasi zao pale ambapo anapo tokea mtu ndani ya chama au nchi akahatarisha nafasi zao iwe awe anakubalika Sana na watu au mkosoaji mkubwa au hata awe ana hoja dhabiti zinazo kinzani na yeye na hapa hili jinamizi hata Mwalimu lili mpitia ndani ya TANU na hata ndani ya Nchi na hili jinamizi likaendelea kuwapitia hata watawala wengine waliofuatia mfano Mkappa na Jenerali Ulimwengu, Kikwete na Dr slaa, Magufuli na Lissu , Samia na Mbowe , Mao Zedong na Deng Xiaoping , Deng Xiaoping na Gang of four n.k Mwisho wa siku siasa inapaswa kuwa sio uadui bali upendo. Jambo lengine ulilozungumzia ni kuamini katika akili zako kuliko wengine hii ipo 50/50 muda mwengine wewe Kama kiongozi shupavu unapaswa kushikilia kile unachokiamini na kukitekeleza bila kuyumba mfano. matunda ya sasa ya China ni kutokana Deng Xiaoping kuamini kile alichokiamini tokea hata wakati Mao Zedong yupo hai alizipinga wazi wazi sera zake za Mao Zedong ambazo badae hazikuzaa matunda Jambo lililopekea kufutwa uanachama wakati wa uhai wa Chairman Mao baada ya kufa Mao Zedong na kurudishwa chamani na kuchukua hatamu ya uongozi wa China alisimamia na kuzitekeleza zile sera zilizokuwa zinaenda kinyume na Mao Zedong alivyokuwa anataka lakini hizo sera ndizo zimeifanya leo hii China kuwa bora kiuchumi. Lakini muda mwingine ukiamini Sana akili zako kuliko za wengine zinaweza pia kukuangusha mfano Mao Zedong [ Great leap forward na Cultural revulution ] zote hizi zilileta maafa China yasiyoelezeka , hata Mwalimu muda mwingine alikuwa na hii Imani Kama ya Mao Zedong kitu kilicho pelekea ujamaa wake katika uchumi kuangukia pua sijui alishindwa wapi hata kujifunza kwa Singapore ya. Lee Kuan Yew na China ya Deng Xiaoping na mwalimu aligombana na wanachama wake wa TANU mfano ni huyo Bibi Titi Mohammed Licha ya kuwa walikuwa marafiki wakubwa Mwisho wa siku utofauti wa mawazo na sera vikawagombanisha. Kuhusu swala la udini Sina uhakika sana Kama Mwalimu alikuwa ni mdini labda kwa ambao waliishi nae karibu Sana.

# SIASA SIO UADUI SIASA NI UPENDO.
nyiny wote mmeandika pumba sana , angalie bara la afrika halaf ndo mje mumlaumu Nyerere ,yaan waafrika tangu mfundishwe kukosoa viongoz wenu bas kila kiongoz mnamuangalia kwa jicho baya
 
Wewe Pimbi Bibi Titi hana lolote zaidi ya kupika vitumbua na kalmati.
Sawa Mimi ni pimbi Asante kwa Hilo🙏. Ila unapaswa kufahamu kitu kama wewe hauoni na hauthamini mchango wa kamanda Bibi titi Mohammed Ila Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliuona ndio maana alichaguliwa na TANU kuwa mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa TANU Tanganyika . Aliweza kutoa hela za kwake kutoka mfukoni mwake ili tu asaidie harakati za kudai kufanikiwa . Aliwakosoa wakoloni hadharani bila kuwa na hofu hata punje kitu amabacho wewe kwa Sasa hauwezi hata kusimama hapo nje ya nyumba yako na kuwakosoa serikali nzima ya CCM . Hakuwa muoga wa kumkosoa hata Mwalimu mwenyewe kwa kile alichoamini kitu amabacho hata wewe hauwezi . Alifungwa gerezani kwa kesi isiyoeleweka kitu ambacho hata wewe naamini unaliogopa gereza na polisi Kama ukoma . Mapambano ya BIBI TITI MOHAMMED dhidi ya ukoloni na wakoloni yanapaswa kuthaminiwa na kuheshimiwa na ndio mama wa Taifa la Tanganyika huku Baba akiwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kutokumuheshimu wewe Mama aliyeleta Uhuru wetu hii hamuondolei heshima yake kwa taifa letu ndio maana kwenye harakati na vitabu vyote vya historia za harakati za kudai Uhuru jina la mwanamke pekee shupavu linaloandikwa kwa wino wakukolezwa ni la Kamanda Bibi titi Mohammed na wala sio mwengine hilo jina litaendelea kuwepo milele mpaka Mwisho wa yote hapa Duniani.
 
nyiny wote mmeandika pumba sana , angalie bara la afrika halaf ndo mje mumlaumu Nyerere ,yaan waafrika tangu mfundishwe kukosoa viongoz wenu bas kila kiongoz mnamuangalia kwa jicho baya
Ungekuwa na busara zaidi ungezionesha hizo pumba tulizo ziandika na wewe ungeandika mchele wako mzuri ili uliwe na jamii nzima na sio pumba zetu.
 
Vipi shangazi yetu maria?
Maria pia ni mashine, watu kama Hawa Mungu huwaweka katika Taifa lolote ,na wakati wote wao huwa hawaoni Kama Wana nguvu ya ajabu, ujichukulia kawaida, Sasa ile spirit iliyo ndani mwao ndo huwadrive, lakini wao wakiona wanafanya kawaida Sana kama sehem ya jamii kumbe sio,na ni wachache wenye hualisia wa Hili wengine wamejawa na huanaharakati but Sio Kama Hawa wengine
 
Sawa Mimi ni pimbi Asante kwa Hilo🙏. Ila unapaswa kufahamu kitu kama wewe hauoni na hauthamini mchango wa kamanda Bibi titi Mohammed Ila Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliuona ndio maana alichaguliwa na TANU kuwa mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa TANU Tanganyika . Aliweza kutoa hela za kwake kutoka mfukoni mwake ili tu asaidie harakati za kudai kufanikiwa . Aliwakosoa wakoloni hadharani bila kuwa na hofu hata punje kitu amabacho wewe kwa Sasa hauwezi hata kusimama hapo nje ya nyumba yako na kuwakosoa serikali nzima ya CCM . Hakuwa muoga wa kumkosoa hata Mwalimu mwenyewe kwa kile alichoamini kitu amabacho hata wewe hauwezi . Alifungwa gerezani kwa kesi isiyoeleweka kitu ambacho hata wewe naamini unaliogopa gereza na polisi Kama ukoma . Mapambano ya BIBI TITI MOHAMMED dhidi ya ukoloni na wakoloni yanapaswa kuthaminiwa na kuheshimiwa na ndio mama wa Taifa la Tanganyika huku Baba akiwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kutokumuheshimu wewe Mama aliyeleta Uhuru wetu hii hamuondolei heshima yake kwa taifa letu ndio maana kwenye harakati na vitabu vyote vya historia za harakati za kudai Uhuru jina la mwanamke pekee shupavu linaloandikwa kwa wino wakukolezwa ni la Kamanda Bibi titi Mohammed na wala sio mwengine hilo jina litaendelea kuwepo milele mpaka Mwisho wa yote hapa Duniani.
Mkuu anakuchosha uyo tu achana nae
 
Aisee nimetokea kumpenda bure huyu mama Nancy Pelos jamani. katikati ya mijabali miwili inayotunishiana misuli, mama anatembea kwa madaha bila wasiwasi wowote. Hili hata Trump, pamoja na kujitia kichaa, asingeweza! Hili hata yule msema hovyo aliyetimuliwa uPM kule UK, Bojo, asingeweza.

Nilipomuona anaichana ile hotuba ya Trump 'live' nikajua anadeka tu nyumbani, kumbe ni mtata kweli aisee!

Kwenye kuipigania democracy, wanamtambua vizuri mambo tu ya mapenzi ya watu lakini hapa Hillary Clinton haingii hata kwa robo yake kwa shostito wake huyu!

Tungewapata kina Nancy Pelosi kama watano hivi hapa Bongo bila shaka tungelikuwa mbali sana!!

Kwani democracy ndio inaleta maendeleo???
usichanganye system of government na economic model
 
Nyerere alikuwa na hila nyingi Sana lkn pia alikuwa mdini na aliyeamini akili zake kuliko wenzake
Akili zako ndogo sana ...viongozi wadini hapa tz siyo wakristo ni waislamu tena wao ni zaidi ya udini wamejaa upumbavu wa kuabudu mabeberu ....hadi kwenye vikao vya mabeberu wafisadi wanao tuibia madini yetu hapa nchini awalisikika wakisema wanatamani tz iongozwe na waislamu siku zote kuliko wakristo , sasa wewe unafikiri kwanini walisema hivyo
 
Back
Top Bottom