Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Tumefuzu,Ili ndo la msingiKocha jana alifanya kosa moja kubwa la kiufundi kwa kumpanga Msuva ambaye ni juzi tu katoka kusajiliwa na klabu ya Algeria tena kama kwa kuipambania sana fursa hiyo. Jana Msuva asingeweza kuwa na madhara akijua angeweza kujijengea mazingira mabaya ya kazi.
Ndiyo maana hata Niger walivyokuja kucheza na Tanzania walimuweka benchi Adebayor kipindi ambacho tetesi kuwa Simba bado inamtaka zilikuwepo.