Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Feb 12, 2025 #1 Man city walimpiga dongo Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or jana katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya. Bado Vini akapafomu katika kiwango cha hali ya juu na kuisaidia timu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa mabao 3-2. Hata ulaya vijembe na utani wa hapa na pale upo bhana🤣🤣
Man city walimpiga dongo Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or jana katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya. Bado Vini akapafomu katika kiwango cha hali ya juu na kuisaidia timu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa mabao 3-2. Hata ulaya vijembe na utani wa hapa na pale upo bhana🤣🤣
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Feb 12, 2025 #2 Simba waache kulia lia
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Feb 12, 2025 #3 Kamdomooo!!!
Kunguru wa Unguja JF-Expert Member Joined Aug 18, 2021 Posts 1,762 Reaction score 1,823 Feb 12, 2025 #4 wanapigwa nje ndani hawa ili waseme vizuri ballon d'or waliipataje
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Feb 12, 2025 #5 Be humble..
Mnama JF-Expert Member Joined Oct 13, 2010 Posts 2,963 Reaction score 2,694 Feb 12, 2025 #6 Wakome...