Hata uwe na pesa vipi na u_handsome vipi ukishakuwa unanuka mdomo pita mbali nami.

Unaambiwa utamu wa ngoma ingia ucheze mwenyewe.
Ndivyo niliyoyashudia hivi majuzi baada ya kukutana na kijibrodamen smart kwa nje but domo sijui anatatizo gani yani sio romance tu hata akikuongelesha ùpepo woote wa bahari chafu unavuma kukuelekea mmmhh.
Eti sister sory nadhani ninakufaham if I am not mistaken.
Enhe niambie unanifahamuje?
Oohh unajuaa bla bla kibao

Basi nilikuwa disapointed hataree japo kwa muonekano alinivutia nikamwambia kaka nipe tu namba yako I will call you back kukatisha maelezo.
Nilivyoondoka pale ndio basi tena nikaifutilia mbali.

Ushauri wakaka jitahidini kusafisha ndimi na midomo yenu mnakera.
Baba yako hanuki mdomo?
 
Sasa hapo haujakutana na aliyepga Sigara plus Konyagi si ndio utazimia wewe [emoji16] [emoji16]
 
Sio tu kwa wanaume dada yangu sema sisi wanaume tuna vifua sana!
Mimi juzi tu jumapili nilikuwa na appointment ya kukutana na mrembo matata sana ila cha kushangaza mdomo wake haukuwa na harufu nzuri bali mbaya sana akitaka romance nikawa namkwepesha nikaagiza soda na chipsi kuku nikijua akila itakata but invain!
Ila kwakuwa tunaangalia wowowooo nikajikaza kisabuni nikapiga pipe kisawasawa na ikawa siri yangu nashangaa nyie mkiona tu leo mada hailali.
 
Back
Top Bottom