Hata uwe na pesa vipi na u_handsome vipi ukishakuwa unanuka mdomo pita mbali nami.

Baba yako hanuki mdomo?
 
Sasa hapo haujakutana na aliyepga Sigara plus Konyagi si ndio utazimia wewe [emoji16] [emoji16]
 
Sio tu kwa wanaume dada yangu sema sisi wanaume tuna vifua sana!
Mimi juzi tu jumapili nilikuwa na appointment ya kukutana na mrembo matata sana ila cha kushangaza mdomo wake haukuwa na harufu nzuri bali mbaya sana akitaka romance nikawa namkwepesha nikaagiza soda na chipsi kuku nikijua akila itakata but invain!
Ila kwakuwa tunaangalia wowowooo nikajikaza kisabuni nikapiga pipe kisawasawa na ikawa siri yangu nashangaa nyie mkiona tu leo mada hailali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…