Hata uwe na pesa vipi na u_handsome vipi ukishakuwa unanuka mdomo pita mbali nami.

Aaaaargh!!!! Endelea kuchagua unachokitafuta utakipata
 
Ndo shida ya mabrazameni hamia sura ngumu ufaidi mema ya nchi ukiugua mafua ushabebwa mgongoni na kibo na mawenzi unafika kila mpigo
 
Nimepokea ushauri wenu wapendwa ila to be honest siwezi kumtafutia dawa kama baadhi walivyopendekeza coz I am not a MD pia siwezi kumsaidia kwa kumwambia coz I am not his wife ninachoona ni kwamba tu kila mmoja wetu ajiribu kujitathimini mapungufu yake na kuyafanyia kazi kwani hakuna aliyekamilika ila tunajiongeza tu.


Love you all mwaaaaah.
 
Ndo shida ya mabrazameni hamia sura ngumu ufaidi mema ya nchi ukiugua mafua ushabebwa mgongoni na kibo na mawenzi unafika kila mpigo

Mimi sura ngumu siziwezi lijitu limekomaa hata mvuto hamna!
Mimi nakula kitu roho inapenda I like the most Handsome guyz.
 

Kila mtu na focus yake kuhusi what's if good for him/her.
 
Na wewe utakimbiwa au kutolewa dhamani kwa udhaifu ulionao mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…