Hata vita ya wenyewe kwe wenyewe Sierra Leone vilianza hivi hivi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Mjomba wangu ameniambia kuwa mkwe wake alikuwa anatoka kazini alipigwa risasi ya kichwa amefariki huko Dar.

Hakushuriki maandamano wala vurugu lakini ameuawa. Waliouawa bila kushiriki kwenye maandamano ni wengi kuliko hata vijana waliokuwa wanafanya vurugu.

Je, polisi walishindwa kupambanua yupi anafanya vurugu na yupi anaelekea nyumbani?

Mauji kama haya huko Sierra Leone yalileta vita mbaya sana ambayo hawataisahau hadi hii leo.
 
Mtiti wa waasi huko Sierra Leone umeeleezewa vizuri na kijana aliekutwa na madhila ya waasi huko Sierra leone. Kama unataka kijua mtiti wa waasi au maisha ya watu walioko vitani, naomba mkasome hiki kitabu kinaitwa

A LONG WAY GONE.

Oyaweee!!!!😭😭😭
 
Attachments

Asante mkuu nilikuwa nahitaji kitabu cha kaliba hii na umekileta kwa wakati.
 
Mkuu kitabu kinatisha sana.
Mfn, kijana anasimulia kwamba..
Kuna siku waasi walivamia kiji jirani, wakati kijiji hicho kinavamiwa, wao (kijana anaesimulia na wenzake 5) walikuwa wanaelekea uelekeo huo huo. Sasa, walikutana na watu wengi sana wanakimbia vita na wengi wao walikuwa wanavuja damu sana.
Wengine walikuwa wanakimbia bila kujua kama wamejeruhiwa na wanatoka damu, hadi walioofika mahali wakakaa wenzao ndo wanawaambia kuwa wanatoka damu.

Wengine walikuwa wanakimbia wamebeba watoto mikononi amabo tayari wameshakufa ila wao wanajua watoto bado wako hai, hadi pale walipofika sehemu wakitulia ndo wanagundua mtoto alishakufa zamani.

Kwa mfano, kuna mama alikuwa amebeba mtoto mgongoni, katika kukimbia, mtoto alipigwa risasi akiwa mgingoni akafa, ila mama yake aliendelea kukimbia akijua mtoto wake yuko salama, hadi alipofika sehemu walipo watu wengine, akakaa chini, akawa anamshusha mwanae amnyonyeshe, kumshusha mtoto, macho yako wazi lakini alishakufa zamani.

Oya kitabu kinatisha hatari.
😭😭😭😭
 
Je polisi walishindwa kupambanua yupi anafanya vurugu na yupi anaelekea nyumbani?
Father watu kama wewe mna akili mgando au ni vipi?

Watu wanafuatwa kwenye nyumba zao wanapigwa risasi seusi yule anayerandaranda mtaani kweli asipigwe risasi?

Mtu kakaa kwakwe mara anashitukia tu Tsuuu halafu iwe heri anayetembea mtaani? Unadhani mauaji hayo yamefanyika kwa bahati mbaya?
 
Umeshindwa kuelewa nini?
 
Mjomba wangu ameniambia kuwa mkwe wake alikuwa anatoka kazini alipigwa risasi ya kichwa amefariki huko Dar.

Hakushuriki maandamano wala vurugu lakini ameuawa. Waliouawa bila kushiriki kwenye maandamano ni wengi kuliko hata vijana waliokuwa wanafanya vurugu.

Je, polisi walishindwa kupambanua yupi anafanya vurugu na yupi anaelekea nyumbani?

Mauji kama haya huko Sierra Leone yalileta vita mbaya sana ambayo hawataisahau hadi hii leo.
shooting spree
 
Back
Top Bottom