Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Wamebaki ma chawa na walamba asali kumpongeza kinafiki huku tukiwa nao mtaani wana mng'ong'a.
Naogopa nihisipo mwisho wake. Najiuliza, utakuwaje!?
Kila pembe sasa ni kilio kumlaumu yeye. Waliopotelewa na ndugu, watoto, wajomba na wasaidizi wao kutwa wanamlilia. NA HATA WALIOTUAMINISHA VIROBA TENA HAWAVIONI, SASA MIDOMO YAO I MIZITO KUNENA!
Mbaya zaidi, hata walio msifia kwa nyimbo na mapambio, nao wanajutia kumfahamu.
Ama kweli ngoma ikivuma sana mwisho hupasuka.
RIP JIWE.