Hata Wamarekani hawaamini tena katika elimu ya shule zao

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,468
Reaction score
32,167
Elon Musk aliwatoa watoto wake wote watano katika shule walizokuwa wanasoma, akaanzisha shule yake karibu na zilipo ofisi za kampuni yake ya Space X. Shule hii haifuati mitahala ya shule yoyote. Pale wanajifunza hesabu, Physics, mambo ya space wakiandaliwa kuwa ma engineer wa kampuni zake.

Pia watoto wengi wa wafanyakazi wa makampuni yake ambao ni bright ndiyo wanaosoma pale. Kwa sasa amekubali watu wengine kuomba na kila mwaka wanapokea mamia ya maombi lakini wanachukua watoto wasiyozidi kumi.

Hawasomi mambo mengi ya kujizungusha kama sisi,bali wanasoma vitu specific. hawaandiki kwa kutumia penseli, bali wanatumia computer kwa ku-type na tablets. Wanatumia technology za kisasa kusoma hakuna masuala ya ujima.

Sasa sisi karne ya leo tulikuwa bado eti tunajifunza barua ya simu, hivi utatumia wapi barua ya simu. Bado tunajifunza nani aligundua ziwa victoria. Mambo mengine ni kupoteza muda sana kwakweli.
 
Kuzungumzia Elon Musk kwa case ya Elimu ya Marekani ni sawa na kutengeneza conclusion ya research kwa kutumia 0.001% ya study population. He's a billionaire (top 10 ya watu matajiri duniani yupo) na kwa personality ya Musk kufanya hivyo wala haishtui.
 
Hicho ni kichwa cha habari cha kuvutia ili watu wasome tu, ni art ya kuvutia watu kusoma thread. As of sept amekuwa ranked kuwa tajiri namba 3.
 
Hii haitofautiani sana na baadhi ya wahindo na waarabu wana shule zao sema tofauti kuna mitaala wanayofuata
 
Kuna jamaa yangu wakati amemaliza chuo akawa amepata kazi ya muda ya kuwa mwalimu wa michezo wa shule flani iko maeneo ya posta, wanasoma wahindi na watoto wachache wa kiafrika. Anasema pale hawasomi mitaala yetu, na wanasoma vitu tofauti kama michezo ya tennis, kuogelea, kukimbia na hata masomo ya darasani ni tofauti, na baada ya muda hao watoto wanaondoka wanaenda nje hawakai hata miaka 3.
 
Ndo ujue hao wanaandaliwa kwa kazi maalumu hasa kuendeleza biashara za wazazi wao..hawaqndaliwi kwenda kuomba.
 
Umeandika kiutopolo sana. Kuna jirani yangu ananunua sana kuku broiler. Je watanzania hawaamini kuku wao wa kienyeji? Hapa ndo naona madhara ya elimu yetu.imetengeneza bomu kama wewe.huwezi ku conclude hatima ya kielimu ya wamarekani zaidi ya milion 250 kwa kutumia watu 50. Huo ni Utopolo at the highest stage.
Umebeba jiwe sio kichwa
 
Haya ndiyo madhara ya elimu yetu, unasoma kichwa cha habari bila kusoma contents. Umeshindwa kujua kuwa heading inatumiaka kuvutia watu wasome content, ndiyo maana heading inakuwa chokonozi ili mtu asome content. Pole sana
 
Mu
Mkuu kuichukia nchi yako hakukusaidii lolote, Umesoma mada ukaielewa.

Hauoni huyo ni mtu mmoja kabadilisha mfumo kawachukua wanae na kuwapeleka kwenye mfumo anaoutaka yeye.

Mambo huwa hayabadilishwi na nchi ni mtu mmoja mmoja.
Muelimishe huyo
 
Bro taja na ada ukiweka na picha ya mandhari itapendeza nijue niende au nisiende

Kichwa BoX
 
Kuzungumzia Elon Musk kwa case ya Elimu ya Marekani ni sawa na kutengeneza conclusion ya research kwa kutumia 0.001% ya study population. He's a billionaire (top 10 ya watu matajiri duniani yupo) na kwa personality ya Musk kufanya hivyo wala haishtui.
Prof Michio Kaku aliwahi kusema Marekani ina mfumo mbovu zaid wa elimu
Ironically kama marekani ina mfumo mbovu wa elimu,nchi nyengine huku ni hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom