Mkuu kuichukia nchi yako hakukusaidii lolote, Umesoma mada ukaielewa.This is Tanzania inchi yenye utopolo asilimia 100
Hicho ni kichwa cha habari cha kuvutia ili watu wasome tu, ni art ya kuvutia watu kusoma thread. As of sept amekuwa ranked kuwa tajiri namba 3.Kuzungumzia Elon Musk kwa case ya Elimu ya Marekani ni sawa na kutengeneza conclusion ya research kwa kutumia 0.001% ya study population. He's a billionaire (top 10 ya watu matajiri duniani yupo) na kwa personality ya Musk kufanya hivyo wala haishtui.
Lishe duni ndio tatizoThis is Tanzania inchi yenye utopolo asilimia 100.
Hao wanaandaliwa kwa kazi maalumu kwenye project za wazazi wao...hawaandaliwi kutembeza bahasha za maombiWacha watoto wetu wapambane na Maskini akipata? Wakitoka hapo wakakariri CPA.
Kuna jamaa yangu wakati amemaliza chuo akawa amepata kazi ya muda ya kuwa mwalimu wa michezo wa shule flani iko maeneo ya posta, wanasoma wahindi na watoto wachache wa kiafrika. Anasema pale hawasomi mitaala yetu, na wanasoma vitu tofauti kama michezo ya tennis, kuogelea, kukimbia na hata masomo ya darasani ni tofauti, na baada ya muda hao watoto wanaondoka wanaenda nje hawakai hata miaka 3.Hii haitofautiani sana na baadhi ya wahindo na waarabu wana shule zao sema tofauti kuna mitaala wanayofuata
Ndo ujue hao wanaandaliwa kwa kazi maalumu hasa kuendeleza biashara za wazazi wao..hawaqndaliwi kwenda kuomba.Kuna jamaa yangu wakati amemaliza chuo akawa amepata kazi ya muda ya kuwa mwalimu wa michezo wa shule flani iko maeneo ya posta, wanasoma wahindi na watoto wachache wa kiafrika. Anasema pale hawasomi mitaala yetu, na wanasoma vitu tofauti kama michezo ya tennis, kuogelea, kukimbia na hata masomo ya darasani ni tofauti, na baada ya muda hao watoto wanaondoka wanaenda nje hawakai hata miaka 3.
Umebeba jiwe sio kichwaUmeandika kiutopolo sana. Kuna jirani yangu ananunua sana kuku broiler. Je watanzania hawaamini kuku wao wa kienyeji? Hapa ndo naona madhara ya elimu yetu.imetengeneza bomu kama wewe.huwezi ku conclude hatima ya kielimu ya wamarekani zaidi ya milion 250 kwa kutumia watu 50. Huo ni Utopolo at the highest stage.
Haya ndiyo madhara ya elimu yetu, unasoma kichwa cha habari bila kusoma contents. Umeshindwa kujua kuwa heading inatumiaka kuvutia watu wasome content, ndiyo maana heading inakuwa chokonozi ili mtu asome content. Pole sanaUmeandika kiutopolo sana. Kuna jirani yangu ananunua sana kuku broiler. Je watanzania hawaamini kuku wao wa kienyeji? Hapa ndo naona madhara ya elimu yetu.imetengeneza bomu kama wewe.huwezi ku conclude hatima ya kielimu ya wamarekani zaidi ya milion 250 kwa kutumia watu 50. Huo ni Utopolo at the highest stage.
Muelimishe huyoMkuu kuichukia nchi yako hakukusaidii lolote, Umesoma mada ukaielewa.
Hauoni huyo ni mtu mmoja kabadilisha mfumo kawachukua wanae na kuwapeleka kwenye mfumo anaoutaka yeye.
Mambo huwa hayabadilishwi na nchi ni mtu mmoja mmoja.
Prof Michio Kaku aliwahi kusema Marekani ina mfumo mbovu zaid wa elimuKuzungumzia Elon Musk kwa case ya Elimu ya Marekani ni sawa na kutengeneza conclusion ya research kwa kutumia 0.001% ya study population. He's a billionaire (top 10 ya watu matajiri duniani yupo) na kwa personality ya Musk kufanya hivyo wala haishtui.