Hata Wamarekani hawaamini tena katika elimu ya shule zao

We mwanaume.yaishe wala mi staki shari babu weweeee....untue mtoto wa watu.na ukome kama ulivyokoma kunyonya.usiingilie mambo yaso kuhusu.haya pilipili ipo shamba we yakuwashia ni? Unitumie kabisaaa....mbwa we..


Heeeh..... Sawa dada haina haja ya matusi. Wala sihitaji ugomvi na wewe. Ni aibu kwetu sisi wanaume kugombana na watu aina yako.
 
Kinyesi changu kikitolewa we inakuuma nini....mwenyewe anakipenda. We jiwe lako na kokoto limekusaidia nini?acha kutunyanyapaa....nyie huwa mnajifanya wasafi kumbe ndo mnakuja kutununua sisi. Acha upumbavu wa kutunyanyapaa na sisi tuna haki.

Haki za mashoga hatuzitambui Tanzania.leo utatumia IDs zako zote au utaita wenzio wakusaidie.
 
Hii kitu ya kuedit post za watu ni utoto unafanya..na inadhihirisha akili yako imejaa nini...JF inabidi waondoe hiyo option
Haki za mashoga hazitambuliki Tanzania.Zingetambuliwa basi namimi ningeshaolewa na boyfriend wangu
kila mtu anaweza kuedit post bwashee sio wewe tu
 
Hao wakija TZ tutawafukuza kazi kwasababu hawana vyeti hata kama Taaluma yao ipo vizuri..

This is TZ Governed by Utopolo Gang
 
...

Sasa sisi karne ya leo tulikuwa bado eti tunajifunza barua ya simu, hivi utatumia wapi barua ya simu. Bado tunajifunza nani aligundua ziwa victoria. Mambo mengine ni kupoteza muda sana kwakweli.
Ha ha ha mambo ya telegram hayo na kalamazoo hati rasmi ya malipo ya serikali; polisi wanazo za kutosha hizi; ukienda kuomba loss report unalipia TZS 500 (sema mia tano) halafu unakatiwa kalamazoo ... umenikumbusha Hawala ya Fedha; hii kitu ilitungiwa hadi riwaya kama sijakosea!
 
Hii kitu ya kuedit post za watu ni utoto unafanya..na inadhihirisha akili yako imejaa nini...JF inabidi waondoe hiyo optionkila mtu anaweza kuedit post bwashee sio wewe tu
Naona kamepigwa bann na utoto wake
 
, hivi utatumia wapi barua ya simu.

Umenikumbusha jinsi nilivyohangaika kuikariri milima na mito iliyopo dunia nzima utadhani nilikuwa nafanya survey. Bado kilimo cha mpira unaambiwa nchi inayoongoza kwa kitu fulani lakini huambiwi walifanikiwa vp, walipambana vp na vikwazo. Vishazi huru na tegemezi, mofimu. Bado watu wanajifunza mtu wa kwanza kupanda mlima kilimanjaro[emoji56][emoji56][emoji56] hv kama alipanda akiwa peke yake, nani alihakikisha kuwa alifika kileleni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…