Hata wanaume hulia

Mwanaume akilia ujue ni jambo zito linalomsibu sio bure................mwanaume hutakiwi kulia, unatakiwa kububujikwa na machozi endapo yamekufika mazito,
wengine hata machozi ni kwa sababu tu matatizo ya macho, ...
 
Nione yooote, ila sii mwanaume akilia jamani...

Inauma, huwa naumia seriously hata kama Simjui nitajikuta nami nalia
 
Ata mimi mambo yakiniumiza nalia nampigia Mama simi uku nikilia
 

Sure and perfectly, men do cry, even when they know their forgery av bn discovered. Tear of sympathy. [emoji27] [emoji27] [emoji22] [emoji22]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hata iwe vipi siwezi kulia kisa nyapu mkuu...Labda uniambie kitu kingine lakini sio nyapu
Nyapu tamu kaka ukute iliyotulia. Sio hizi za kupigwa sabuni na mapafyum kula baada ya dk 40 na kula mavidonge
 
Nyapu tamu kaka ukute iliyotulia. Sio hizi za kupigwa sabuni na mapafyum kula baada ya dk 40 na kula mavidonge


Aisee, kwa hiyo we ukikuta iliyotulia ukibaniwa lazima chozi likudondoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…