ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,120
- 5,352
wengine hata machozi ni kwa sababu tu matatizo ya macho, ...Mwanaume akilia ujue ni jambo zito linalomsibu sio bure................mwanaume hutakiwi kulia, unatakiwa kububujikwa na machozi endapo yamekufika mazito,