Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Ooh [emoji23] [emoji1545][emoji1545][emoji1545]nazeeka vibaya sasa
Pole mkuu. Sio vbya kuchungulia huo upande mara mojamoja[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh [emoji23] [emoji1545][emoji1545][emoji1545]nazeeka vibaya sasa
[emoji28][emoji28] PoleMimi Serikali ya CCM ilichonifanya leo ngoja nilie nimegida beer zimegoma
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Duh imekuwaje tena[emoji3064]Mimi Serikali ya CCM ilichonifanya leo ngoja nilie nimegida beer zimegoma
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Asante Rafaki angu [emoji22][emoji22][emoji22][emoji28][emoji28] Pole
Mimbuzi kuna shamba langu wanataka kunyanga'anya Uzi huu hapa mkuuDuh imekuwaje tena[emoji3064]
Pole sana mkuu hii ishu ilifikia wapi?Mimbuzi kuna shamba langu wanataka kunyanga'anya Uzi huu hapa mkuu
2025 Nachagua Andazi, CCM Imenishinda
Wanabodi ngoja leo nideclare interest mnajua Mimi ni CCM Damu yani ukichanja damu yangu ni CCM tu. Lakini sasa CCM wamegusa maslai yangu tena inaniuma [emoji22][emoji22] Sana nilikuwa Tu nasikia Kwa watu unaweza ukadhulumiwa haki yako. Miaka ya nyuma nilinunua mashamba sehemu cha ajabu na...www.jamiiforums.com
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hapa alilia bibi mzaa mama yake alivyofariki wakati wa kampeni yake ya kuukaribia uraisi
Issue ya albino ilimliza mzee siku alipoona mtoto amekatwa mikono yote
Duh..🥺🥺🥺🤔🙇🏿♂kulia ni dawa
Wanawake ni wepesi kulia lakini wanapolia wanatoa sumu mwilini
Wanaume hawalii wanalia moyoni sasa ile sumu inabaki moyoni
Na moja ya sababu ya wanaume kufa haraka ni kulimbikiza hizo sumu
yakichangiwa na masaibu mengine ya kimaisha