Hata wewe ulivyokuwa mjamzito ulifanya hivi....

Hata wewe ulivyokuwa mjamzito ulifanya hivi....

manuu

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Posts
4,064
Reaction score
10,733
My wife ni mjamzito wa mwezi 1 tu! lakini visa na mikasa haviishi hapa ndani kwanza;
-Nilipigwa BAN kumsogelea tukiwa tumelaa usiku japo tunashare shuka moja.
-Jana nimeamka asubuhi nikakuta perfume zangu zote hazipo kwenye dressing kuuliza jibu "sijui"
-Kila nikifika home jioni nakuta keshalala hata kula hali ati ye kashiba tangu ale mchana akiwa job.
-Ameniambia ana hamu ya kula chakula nilichopika mimi,maskini mimi kupika yenyewe anajua kabisa sijui lakini anataka nianze kuzama kitchen kukorofisha msosi.
-Hasira sasa ni balaa yaani ananipeleka kama katoto kadogo mpaka sometime najiuliza nishakuwa zoba nini?

Mmmmmmmh nahitaji pole,
Kwanza nafikiria nitatoboa kweli mda wote huu uliobaki bila ku-do kweli?, Sababu dalili zote za kutokupewa zimeshawekwa wazi sana.
Ama saa ingine nafikiri nitafute kanyumba kadogo ama niungane na chama cha watumia soap aka mkonos?

Pili nawaza what will be the next movie? sababu kila kukicha anakuja na mpya.

Tatu naomba mungu asije akanipa masharti ya kulala chini coz hali haieleweki chochote naweza ambiwa.

Ebu naomba ushauri wenu hapa wababa wenzangu.Kama nanyi mlipitia haya.
Na we mdada ebu niambie ulikuwa hivi ulipokuwa mjamzito?
 
mimba si ulimpa mwenyewe? komaa naye hivyo hivyo
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Wengine hua wanafanya makusudi tu, mbona mimi watoto wangu wote SABA sikuwahi kua na kisirani?!:bathbaby:
 
duh! Pole manuu

labda usafiri kwa muda

ila kawaida sana.
 
Perfume naelewa anaweza kuichukia sababu hata mimi nikiwa hali hiyo sipendi harufu kali Sanaa na misk napenda, kudeka sawa lakini tena huyo anapitiliza,kumpikia sio mbaya mkeo mie napenda tuwewote mda mwingi,jaribu kumvumilia kidogo ukiona yamezidi mpeleke kwao akapumzike japo mwezi...
 
Wakat anakukatia mauno hadi ukampa mimba ulikua unategemea nin?
 
My wife ni mjamzito wa mwezi 1
tu! lakini visa na mikasa haviishi hapa ndani kwanza;
-Nilipigwa BAN kumsogelea tukiwa tumelaa usiku japo tunashare shuka
moja.
-Jana nimeamka asubuhi nikakuta perfume zangu zote hazipo kwenye
dressing kuuliza jibu "sijui"
-Kila nikifika home jioni nakuta keshalala hata kula hali ati ye
kashiba tangu ale mchana akiwa job.
-Ameniambia ana hamu ya kula chakula nilichopika mimi,maskini mimi
kupika yenyewe anajua kabisa sijui lakini anataka nianze kuzama
kitchen kukorofisha msosi.
-Hasira sasa ni balaa yaani ananipeleka kama katoto kadogo mpaka
sometime najiuliza nishakuwa zoba nini?

Mmmmmmmh nahitaji pole,
Kwanza nafikiria nitatoboa kweli mda wote huu uliobaki bila ku-do
kweli?, Sababu dalili zote za kutokupewa zimeshawekwa wazi sana.
Ama saa ingine nafikiri nitafute kanyumba kadogo ama niungane na chama
cha watumia soap aka mkonos?

Pili nawaza what will be the next movie? sababu kila kukicha anakuja na
mpya.

Tatu naomba mungu asije akanipa masharti ya kulala chini coz hali
haieleweki chochote naweza ambiwa.

Ebu naomba ushauri wenu hapa wababa wenzangu.Kama nanyi mlipitia haya.
Na we mdada ebu niambie ulikuwa hivi ulipokuwa mjamzito?

uctafte nymba ndg kumbuka mliahidiana kuvumiliana kwenye shida na raha,mvumilie2 ni kipindi cha mpito c hiari yk naamini anakupenda na ndomana kakubebea mwnao bila kumdhuru,ongeza upendo atabadili mcmamo.vi saprise gift ucsahau.
 
huwa inatokea kwa kipindi fulani inabidi uwe mvumilivu tu, japo kuna wengine huwa wafanya makusudi as if anakukomoa kiaina flani hivi.
 
Wengine hua wanafanya
makusudi tu, mbona mimi watoto wangu wote SABA sikuwahi kua na
kisirani?!:bathbaby:

ushasema ww binadam tunatofautiana sura maumbo mpk hisia ww vp?ndo anavojickia sasa,ucjilinganishe ww na wenzio shoga,kwnz ww ht uyo wa kumfanyia kicrani ulikua naye?yy ndo anae deka shosti wng uyu dada fitna.
 
Mara nyng inashauriwa uwe nae karib ingawa unakupiga stop na pia ukijitenga atakacrika. Bt mwezi wa 1 ni mapema mno ameanza
 
me na mpango nikija kuwa na wife then akanasa nampa likizo akasalimie wazazi,lakini miezi tisa mingi sana aisee sijui na wao watamchoka...dah hatari sana:A S confused:
 
me na mpango nikija kuwa na wife then akanasa nampa likizo akasalimie wazazi,lakini miezi tisa mingi sana aisee sijui na wao watamchoka...dah hatari sana:A S confused:

umpeleke uone kama wenzio hawajamwongezea masikio na pua
 
dah! hili nalo ndo tatizo mkuu,lakini na nyie punguzeni visa basi,mimba si ya kwetu sote mbon mwatuonea?:mimba:

umeona eeh...but we differ kilichotokea kwa mmoja si kila mtu apate hali hiyo. usiogope mkuu.. sasahuo tu usumbufu mdogo unaogopa mngepewa burden ya kubeba mtoto tumboni miezi tisa si ungezimia? its really hard for us sometimes ndo maana wadada wengine kama ulikuwa humtreat atakavyo akiwa mjamzito ndo anaona amepata opportunity ya kukukomoa na kufaidi attention yako.
 
My wife ni mjamzito wa mwezi 1 tu! lakini visa na mikasa haviishi hapa ndani kwanza;
-Nilipigwa BAN kumsogelea tukiwa tumelaa usiku japo tunashare shuka moja.
-Jana nimeamka asubuhi nikakuta perfume zangu zote hazipo kwenye dressing kuuliza jibu "sijui"
-Kila nikifika home jioni nakuta keshalala hata kula hali ati ye kashiba tangu ale mchana akiwa job.
-Ameniambia ana hamu ya kula chakula nilichopika mimi,maskini mimi kupika yenyewe anajua kabisa sijui lakini anataka nianze kuzama kitchen kukorofisha msosi.
-Hasira sasa ni balaa yaani ananipeleka kama katoto kadogo mpaka sometime najiuliza nishakuwa zoba nini?

Mmmmmmmh nahitaji pole,
Kwanza nafikiria nitatoboa kweli mda wote huu uliobaki bila ku-do kweli?, Sababu dalili zote za kutokupewa zimeshawekwa wazi sana.
Ama saa ingine nafikiri nitafute kanyumba kadogo ama niungane na chama cha watumia soap aka mkonos?

Pili nawaza what will be the next movie? sababu kila kukicha anakuja na mpya.

Tatu naomba mungu asije akanipa masharti ya kulala chini coz hali haieleweki chochote naweza ambiwa.

Ebu naomba ushauri wenu hapa wababa wenzangu.Kama nanyi mlipitia haya.
Na we mdada ebu niambie ulikuwa hivi ulipokuwa mjamzito?
pole kaka mvumilie, siyo yeye. ukichukulia makini sana nyumba itavunjika. maana usije kasirika ukaanzisha mpango wa kando
 
Back
Top Bottom