Hata zikigundulika dhahabu kila mtaa na kila nyumba bado ufukara hautawaondoka Watanzania!

Tuliambiwa gesi ndio utakuwa mwarobaini wa matatizo ya nishati ya kupikia na mkombozi wa mazingira.Leo hii gesi inakwenda CHINA na umaskini wetu uko palepale.Hiyo ndio kazi ya CCM,wafuasi wa CCM wengi wako vijijin wanajua kushangilia tu na hawajui kinachoendelea ktk karne hii ya 21. ni ajabu sana na masikitiko watu wanapo ishi ndani ya nchi yao kama mbuzi tu.
 
Hivi suala la gesi liliishia wapi?
 
Upo sahihi sana ndugu. Kwa sehemu kubwa ya watanzania tunatafuta leo ili tutumie leo. Ndio maana hata wafanyakazi wa umma waliowengi mshahara ukifika tarehe 15 ulishaisha na hapo ni maisha ya kubangaiza tu.

Kwa bahati mbaya sn hata hizo rasilimali madini, gesi na nyinginezo tulizonazo bado hatuwezi kuzitumia ipasavyo badala yake tuko bizy kwenda huko duniani kubembeleza watu (kwa jina la wawekezaji) waje wazivune wachukue ziwanufaishe tena kwa masharti nafuu ama sisi ndio tufuate watakayosema wao, muhimu tu waje wabebe mali na sisi tupate vichenji kidogo watakavyopenda wao kutugawia. Ila zakwao hawatakuja kutuambia sisi twende tukazichukue huko tulete kwetu. Kuhangaika na wawekezaji ni nanlmna nyingine ya Ukoloni wa kujitakia.
 
ELIMU
ELIMU
ELIMU
ELIMU ndio itainasua nchi na umaskini wake.
Elimu gani sasa unamaanisha? Ni hii hii tunayosoma kuhusu Ufugaji wa Kondoo Australia, Siku ta Gulio Katerero, kilimo cha Mpira Brazili, Bange Jamaika? Huku maprofesa, PHDs, Wahandisi na madaktari bingwa wanatoka kwenye fani zao wanakwenda kuwa wanasiasa? Najua Prof. Mkenda (W.Elimu) yupo vzr sn, lakini kiujumla watanzania bado tunasafari ndefu kufikia mafanikio makubwa ambayo wenzetu kama India tunaoambiwa miaka ya 60s tulikuwa tunafanana, kufikia huko.
 
Upatu shujaa
Tola ala gizani
La la laaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…