Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba mna miezi mingapi kwenye mahusiano??cheche zipi mkuu
Acha kutafuta sababu za ku promote uzinzi chiefK anakupaga au hakupi?
Kuishi na mtu ni kujiongezea gharama tu.
anasema eti Sababu ni mimi,,,Boss wake alidaka chating zetu...akaona hayuko serious na kazi,,akaamua amtimue
Yaani mmefahamiana mwezi mmoja unataka akubali tu kirahidi kuhamia kwako? Hivi wanaume mna nini lakiniHabari zenu wanajf..kuna mambo yananitatiza kidogo...
Kuna Binti niko nae kwenye Mahusiano takribani mwezi mmoja na nusu hivi..kiukweli nampenda sana,,,sina hata mpango wa kumsaliti. Huyu binti anaishi mbali kidogo na wazazi wake...Ana group la Mabinti wengine anaoishi nao....wanapanga kwa kushare chumba,
MWAZO WA SINTOFAHAMU:
katikati ya Mahusiano yetu,binti alisimamishwa kazi mpaka muda huu ninaoongea,,,anadai mimi ndo chanzo,,,maana kuna muda alikuwa anatumia Simu ya Boss wake kuchati namimi...kwahiyo anadai Boss aliona Chatting zetu akaamua kumfukuza kisa ni kwamba,eti ameendekeza mapenzi kuliko kazi...
Mimi baada ya kuona hali hiyo nikaamua kumwambia kwamba niko tiyari nimuoe...kwa maana ya kuishi nae kama mke...afu baada ya Siku kadhaa niende kwao kwa Wazazi wake nitoe taarifa ya kwamba binti nataka nimtolee mahali ya kumuoa,,,
Binti ninapomwambia anasema hawezi kuishi na mimi mpaka niende kwa Wazazi kwanza,,,
WASIWASI WANGU
((Hofu yangu,Kwasasa binti hana kazi yoyote,Anapoishi Kodi,Maji,Umeme,Chakula anahitajika alipie,,,pia Wanaishi Group la Mabinti watatu,,wenzio wana kazi zao...je wataweza kumtunza mpaka lini? Si itafika hatua watamchoka?))
Kwa upande wangu sina uwezo wa kumlipia akiwa anaishi peke yake huko....mimi nilitaka Aje aishi na mimi mahitaji yote atayapata akiwa kwangu kama mke...afu baadae mimi niende kujitambulisha kwao....Ila yeye Binti hataki hilo wazo langu anataka tuendelee kuwa kama wapenzi,,,ila swala kuishi namimi hataki mpaka nijitambulishe kwao...
Sasa ndugu zangu kweli mnaona kuna dalili nzuri za mahusiano yetu??
NB:Binti alishawahi nidokeza kwamba Wenzio anaoishi nao wanaenda makrabu usiku yeye wanamuacha ndani....na anasema yeye wala hajihusishi nao japo wanaishi wote.
Nisamehe kwa mpangilio mbaya wa ujumbe ASANTENI
Tatizo kwasasa hana kazi anayofanya...huo muda atakaokuwa ananichunguza atakuwa anaishije?Yaani mmefahamiana mwezi mmoja unataka akubali tu kirahidi kuhamia kwako? Hivi wanaume mna nini lakini
Mwache akusome ajiridhishe kwanza na wewe msome ujiridhishe suala la ndoa sio la kukurupuka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Be careful sana na hiyo kauli! Sana!
For sure mkuu, anajua akiishi na jamaa ,order zake za kuuza k zitalala ...anazugia kwenda kujitambulishaKwanini vijana wenzangu mnakuwa vipofu, mnakuwa viziwi mnakuwa kama mazombie, mnakuwaje? Kila muda unavyoenda ndio kasi ya wanaume mazezeta ndio inaongezeka.
Kwanini utumie nguvu kubwa kulazimisha kuishi na kahaba, huyo kazoea kudanga akiwa na marafiki zake hapo huna demu bali una kahaba.
Kuwa mwanaume acha upumbavu.
We c ndo unahudumia mzee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], kaa karibu na card ya bank au menu ya kutuma pesa mda wowote utapigwa kizingaTatizo kwasasa hana kazi anayofanya...huo muda atakaokuwa ananichunguza atakuwa anaishije?
Wanaume tuko hatarini kutoweka.Habari zenu wanajf..kuna mambo yananitatiza kidogo...