Hataki niishi naye kwanza mpaka nijitambulishe kwao

Tuanzie hapo sababu ya kufutwa kazi, hebu parudie tena hapo?
 
Tuanzie hapo sababu ya kufutwa kazi, hebu parudie tena hapo?
anasema eti Sababu ni mimi,,,Boss wake alidaka chating zetu...akaona hayuko serious na kazi,,akaamua amtimue
 
Anatumia simu ya boss wake kuchat na ww atakua barmaid huyu 😃😃
 
anasema eti Sababu ni mimi,,,Boss wake alidaka chating zetu...akaona hayuko serious na kazi,,akaamua amtimue

Mzee huoni kama unashikwa masikio kwa hiyo sababu...
 
Fanay kile unachoona sawa.. Hayanaga muongozo...
 
Yaani mmefahamiana mwezi mmoja unataka akubali tu kirahidi kuhamia kwako? Hivi wanaume mna nini lakini

Mwache akusome ajiridhishe kwanza na wewe msome ujiridhishe suala la ndoa sio la kukurupuka
 
Yaani mmefahamiana mwezi mmoja unataka akubali tu kirahidi kuhamia kwako? Hivi wanaume mna nini lakini

Mwache akusome ajiridhishe kwanza na wewe msome ujiridhishe suala la ndoa sio la kukurupuka
Tatizo kwasasa hana kazi anayofanya...huo muda atakaokuwa ananichunguza atakuwa anaishije?
 
For sure mkuu, anajua akiishi na jamaa ,order zake za kuuza k zitalala ...anazugia kwenda kujitambulisha
 
Tatizo kwasasa hana kazi anayofanya...huo muda atakaokuwa ananichunguza atakuwa anaishije?
We c ndo unahudumia mzee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], kaa karibu na card ya bank au menu ya kutuma pesa mda wowote utapigwa kizinga
 
Sioni ugumu unaouna hapo, kama kweli unania bas kajitambulishe wachana na kutaka kuish na bnt ya watu kinyemela.

Huyo n mtu s mbuz ukae naye kinyemela je, akaipata tatzo ama akikufia utaanzia wap?! Kuna mambo s hata ya kuomba akili za wengne ili ufanyie maamuzi.

Yy n mtu na ww n mtu fanya kutambulishana muish kwa amano, syo kuku huyo. Tatzo s apate yy je, ukipata ww tatzo atanzia wapi?! Wakat hana anayemjua kwenu wala hujulikani kwao 🤨🤔.
 
Wanaume tuko hatarini kutoweka.
Eee Mungu tulinde waja wako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…