Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii si amini kabisa... serikali ya sasa haiwezi kuzuia ati hotuba ya Slaa isiwekwe hazarani... hapa ni porojo tu za wapinzani...
Lakini ukweli utajulikana hapa hapa JF...
Hii si amini kabisa... serikali ya sasa haiwezi kuzuia ati hotuba ya Slaa isiwekwe hazarani... hapa ni porojo tu za wapinzani...
Lakini ukweli utajulikana hapa hapa JF...
Kasheshe elezea hapa porojo ni ipi .Ina maana TV ziko on na Slaa anaongea LIVE kwenye hizo TV lakini bado tuna ambiwa hawarushi matangazo LIVE.Look here niko Kibaha as we speak nothing was on TV wakati Slaa anaongea .Ndiyo kusema nini hapo ? Nikisema u msemaji wa serikali unasema nina maneno machafu .Kuwa rasmi kama Salva hakuna makosa ni kitumbua chako unatetea wengi wafe .
Acheni kuwa wapiga ramli!!! give us authoritative information, kwamba TBC wanapokea maamuzi ya Serikali...
Ieleweke kwamba vyombo vingine vya habari vipo... ambavyo hata visipoonyesha live vinaweza kuonyesha kwenye taarifa za habari zao...
Hamuwezi danganya watu wote wakati wote.... kwa kutuletea mambo ya zamani... hapa...
Hakuna mtu anayeingilia TBC... kuna mengi ambayo yakuwa negative to government wametangaza bila woga wowote...
Achani upinzani uchwara hapa...
Akili yako ina akili kweli ?
Kama mambo gani makubwa ambayo wametangaza kwa uwazi ? taarifa ya habari inaweza kukidhi horuba ndefu ile ? Makosa yamefanywa na sisi na wao wakaogopa na wakazima TV zao .Yes TBC inachukua maelekezo ya serikali .Mbona wasiseme kwamba samahani hatutakuwa hewani jioni ? TBC wana kipindi chao Bungeni muda wote kuna dharula ipo imezuia hili ? Kasheshe ulibana sana lakini sasa uko loose utabondwa tu .Ongea utete hoja si vijimaelezo .Ndiyo CCM haona tofauti ni ZANU/PF na nina ushahidi .
ZANU/PF bendera yao chama ia rangi za Bendera ta Taifa sawa na rangi za CCM ziko katila bendera ta Taifa na tabia zao hazina tofauti .Hapa unaweza kusema tunasema vibaya serikali ? Kajiunge na wenzio anza blogu yako useme mema na mafisadi watakufuata kaama wanavyo kutuma hapa .Si lazima uandike mkuu unaweza kusoma na ukameza misumari ukaanza kusikilizia pia ni life .
Naomba uthibitisho wa Serikali kuambia TBC1 na wengine wanasema STAR TV wasitangaze live....
Hayo mambo ya enzi za ukombozi za ZANU PF... na CCM hayanihusu...
By the way lazima kila kitu kiwe na scope hapa... CCM kama taasisi na ZANUPF zinahusika je hapa!!! Acheni kubwatuka ovyoo.
Leta dataz... sio kwamba nawatetea... lakini you guys have taken us for the ride...
Tukana kadiri unavyoweza... but we need evidence... simple...
Naomba uthibitisho kwamba serikali imeiambia TBC1 wasionyeshe hiyo ... hotuba!!!!.... na tunaomba uthibitisho wa ratiba ya TBC1 ya leo... Kama hakuna huo uthibitisho... please nyamazeni... sio sehemu ya kuweka maroroso hapa.
Dataz zinatakiwa kuletwa kwa uhakika kama zile za FM ES
Ila ni kuwa hapa wamejiharibia zaidi kwani kila mwananchi alikuwa karibu na TV yake akitaka kujua Slaa atazungumza kitu gani.
Pili Malecela kamuunga mkono mkewe kuwa fedha za EPA lazima zirudishwe ,mjadala ulikuwa mkali sana bungeni huku baadhi ya wabunge wa CCM wakimtaka slaa mara afute usemi ila hakufuta hata kauli moja bali alisimamia msimamo wake .
Nami nimeyasikia vizuri sana... wote wawili... sasa mimi sijui lipi limefichwaa... tunaomba tuelezwe yaliyofichwa hapa hapa hapa...
Dk. Slaa kapewa muda TBC 1, na MAlecela kajibu, anasema hata yeye hataacha kupambana na ufisadi akamsifia Kilango na Mpendazoe na akasema EPA kwa mara ya kwanza ililetwa bungeni na Chegeni na si wapinzani.
Uelezwe mara ngapi? Usitishe watu bwana!!!!! kama hukuridhika na ushahidi wa hilo basi nenda polisi.
TBC1: Masilingi anasema mambo ya Zitto, yalishajadiliwa na kamati ya mambo ya nje jana... na balozi hawezi kurudishwa kwa kuwa kazi yake itakuwa kuwasaidia watanzania walioko huko...
Hivyo balozi akirudi Dar... maana yake wabongo walioko huko wafe tu...
Kasheshe unaweza kutumia akili kidogo tu ukaona watu wanalalamia LIVE coverage ya the whole thing Bungeni badala ya vi portion ya TBC 1 ?
Bro achana na huyo Kassheshe.hiyo tbc1 iko chini ya serikali na ndio mana waliweza kuacha kuonyesha bunge kipindi kile cha kamati ya ricmond wakakimbilia kuonyesha rais akiongea na wazee wa Dar es salaam.sasa huyo hakuna haja ya kubishana nae naona washapanga na TIDO JAMAA WA KWENYE JF WAKIONGEA SANA WE WAAMBIE WAKUONYESHE RATIBA TA TBC 1 YA LEO.unajua watu wanadhani hata kama hatupo bongo hatufuatilia mambo ya huko wakati spika anaahirisha kikao cha bunge sa sita mchana,mtangazaji wa tbc1 aliaga na kusema tukutane tena saa kumi na moja jioni sasa alikuwa anamaanisha nini huyo dada..na redio pia wakagoma kutangaza mana mi baada ya kuona tv hakuna kitu nikaswitc kwenye radio.huko nako holla sijui wanatutafuta nini watz.Akili yako ina akili kweli ?