Hatari Bunge Lamhujumu Dr,.Slaa .

Hatari Bunge Lamhujumu Dr,.Slaa .

Hii si amini kabisa... serikali ya sasa haiwezi kuzuia ati hotuba ya Slaa isiwekwe hazarani... hapa ni porojo tu za wapinzani...

Lakini ukweli utajulikana hapa hapa JF...
 
Kwa hiyo hao waliosema kwamba TV channels ambazo huwa zinaonyesha hotuba LIVE toka bungeni hazionyeshi hotuba inayotolewa na Slaa wametudanganya!!! Wana sababu gani ya kuja hapa na kuandika uongo!? 😕
Ama kweli ukistaajabu ya Mussa...
 
Hii si amini kabisa... serikali ya sasa haiwezi kuzuia ati hotuba ya Slaa isiwekwe hazarani... hapa ni porojo tu za wapinzani...

Lakini ukweli utajulikana hapa hapa JF...

Kasheshe elezea hapa porojo ni ipi .Ina maana TV ziko on na Slaa anaongea LIVE kwenye hizo TV lakini bado tuna ambiwa hawarushi matangazo LIVE.Look here niko Kibaha as we speak nothing was on TV wakati Slaa anaongea .Ndiyo kusema nini hapo ? Nikisema u msemaji wa serikali unasema nina maneno machafu .Kuwa rasmi kama Salva hakuna makosa ni kitumbua chako unatetea wengi wafe .
 
Acheni kuwa wapiga ramli!!! give us authoritative information, kwamba TBC wanapokea maamuzi ya Serikali...

Ieleweke kwamba vyombo vingine vya habari vipo... ambavyo hata visipoonyesha live vinaweza kuonyesha kwenye taarifa za habari zao...

Hamuwezi danganya watu wote wakati wote.... kwa kutuletea mambo ya zamani... hapa...

Hakuna mtu anayeingilia TBC... kuna mengi ambayo yakuwa negative to government wametangaza bila woga wowote...

Achani upinzani uchwara hapa...
 
Naomba uthibitisho kwamba serikali imeiambia TBC1 wasionyeshe hiyo ... hotuba!!!!.... na tunaomba uthibitisho wa ratiba ya TBC1 ya leo... Kama hakuna huo uthibitisho... please nyamazeni... sio sehemu ya kuweka maroroso hapa.

Dataz zinatakiwa kuletwa kwa uhakika kama zile za FM ES
 
Akili yako ina akili kweli ?
Kama mambo gani makubwa ambayo wametangaza kwa uwazi ? taarifa ya habari inaweza kukidhi horuba ndefu ile ? Makosa yamefanywa na sisi na wao wakaogopa na wakazima TV zao .Yes TBC inachukua maelekezo ya serikali .Mbona wasiseme kwamba samahani hatutakuwa hewani jioni ? TBC wana kipindi chao Bungeni muda wote kuna dharula ipo imezuia hili ? Kasheshe ulibana sana lakini sasa uko loose utabondwa tu .Ongea utete hoja si vijimaelezo .Ndiyo CCM haona tofauti ni ZANU/PF na nina ushahidi .

ZANU/PF bendera yao chama ia rangi za Bendera ta Taifa sawa na rangi za CCM ziko katila bendera ta Taifa na tabia zao hazina tofauti .Hapa unaweza kusema tunasema vibaya serikali ? Kajiunge na wenzio anza blogu yako useme mema na mafisadi watakufuata kaama wanavyo kutuma hapa .Si lazima uandike mkuu unaweza kusoma na ukameza misumari ukaanza kusikilizia pia ni life .
 
Naomba uthibitisho wa Serikali kuambia TBC1 na wengine wanasema STAR TV wasitangaze live....

Hayo mambo ya enzi za ukombozi za ZANU PF... na CCM hayanihusu...

By the way lazima kila kitu kiwe na scope hapa... CCM kama taasisi na ZANUPF zinahusika je hapa!!! Acheni kubwatuka ovyoo.

Leta dataz... sio kwamba nawatetea... lakini you guys have taken us for the ride...

Tukana kadiri unavyoweza... but we need evidence... simple...
 
Evidence ipi unayoitaka zaidi ya kuambiwa kwamba hizo TV channel ambazo huwa zinatangaza hotuba live toka Bungeni na zimekuwa zikifanya hivyo toka bunge hili bajeti lianze, leo hazikuonyesha hotuba ya Dk Slaa, sasa tukupe ushahidi gani tena!!!!?? Halafu ikishapewa hiyo evidence utaifanyia nini!!!??😕 Duh watu wengine bwana watawatetea mafisadi kwa kila namna! 😕😕
 
Naomba uthibitisho kwamba serikali imeiambia TBC1 wasionyeshe hiyo ... hotuba!!!!.... na tunaomba uthibitisho wa ratiba ya TBC1 ya leo... Kama hakuna huo uthibitisho... please nyamazeni... sio sehemu ya kuweka maroroso hapa.

Dataz zinatakiwa kuletwa kwa uhakika kama zile za FM ES

Sasa na wewe Kasheshe unajiharibia reputation. Mimi nilifikiri utaleta uthibitisho kwamba TBC wameonyesha hiyo hotuba kumbe unaibua ubishi mwingine?

Sasa nakuuliza kwa niaba ya wananchi hapa: TBC wameonyesha hotuba ya Slaa au hawajaonyesha? Kama hawajaonyesha kwa nini? Word limit: 200 words!
 
Ila ni kuwa hapa wamejiharibia zaidi kwani kila mwananchi alikuwa karibu na TV yake akitaka kujua Slaa atazungumza kitu gani.

Pili Malecela kamuunga mkono mkewe kuwa fedha za EPA lazima zirudishwe ,mjadala ulikuwa mkali sana bungeni huku baadhi ya wabunge wa CCM wakimtaka slaa mara afute usemi ila hakufuta hata kauli moja bali alisimamia msimamo wake .
 
Dk. Slaa kapewa muda TBC 1, na MAlecela kajibu, anasema hata yeye hataacha kupambana na ufisadi akamsifia Kilango na Mpendazoe na akasema EPA kwa mara ya kwanza ililetwa bungeni na Chegeni na si wapinzani.
 
Nami nimeyasikia vizuri sana... wote wawili... sasa mimi sijui lipi limefichwaa... tunaomba tuelezwe yaliyofichwa hapa hapa hapa...
 
Wewe umelala kweli umeyasikia wapi? hakukuwa na live coverage leo hata kidogo.
 
Nami nimeyasikia vizuri sana... wote wawili... sasa mimi sijui lipi limefichwaa... tunaomba tuelezwe yaliyofichwa hapa hapa hapa...

Uelezwe mara ngapi? Usitishe watu bwana!!!!! kama hukuridhika na ushahidi wa hilo basi nenda polisi.
 
Dk. Slaa kapewa muda TBC 1, na MAlecela kajibu, anasema hata yeye hataacha kupambana na ufisadi akamsifia Kilango na Mpendazoe na akasema EPA kwa mara ya kwanza ililetwa bungeni na Chegeni na si wapinzani.

Kiranja,

Kwenye TBC1 umeona Dr. Slaa hajatendewa haki? au ni ukanjanja wa wenzetu hapa JF?
 
TBC1: Masilingi anasema mambo ya Zitto, yalishajadiliwa na kamati ya mambo ya nje jana... na balozi hawezi kurudishwa kwa kuwa kazi yake itakuwa kuwasaidia watanzania walioko huko...

Hivyo balozi akirudi Dar... maana yake wabongo walioko huko wafe tu...
 
Uelezwe mara ngapi? Usitishe watu bwana!!!!! kama hukuridhika na ushahidi wa hilo basi nenda polisi.

Hakuna ushahidi hapo labda kwa mwananchi ambaye hajaenda shule....mimi naona kuna watanzania wanaiombea Tanzania mabaya... hivi dini zenu zinawafundisha kusingizia watu uongo....???
 
TBC1: Masilingi anasema mambo ya Zitto, yalishajadiliwa na kamati ya mambo ya nje jana... na balozi hawezi kurudishwa kwa kuwa kazi yake itakuwa kuwasaidia watanzania walioko huko...

Hivyo balozi akirudi Dar... maana yake wabongo walioko huko wafe tu...

Kasheshe unaweza kutumia akili kidogo tu ukaona watu wanalalamikia LIVE coverage ya the whole thing Bungeni badala ya vi portion ya TBC 1 ?
 
Kasheshe unaweza kutumia akili kidogo tu ukaona watu wanalalamia LIVE coverage ya the whole thing Bungeni badala ya vi portion ya TBC 1 ?

Turudi kwenye hoja... au mzee ndio uko kazini kwenye chama chako...!!! mimi sio kada mpinzani... sitaweza kukujibu hoja zako za kichama mkuu!!!
 
Akili yako ina akili kweli ?
Kama mambo gani makubwa ambayo wametangaza kwa uwazi ? taarifa ya habari inaweza kukidhi horuba ndefu ile ? Makosa yamefanywa na sisi na wao wakaogopa na wakazima TV zao .Yes TBC inachukua maelekezo ya serikali .Mbona wasiseme kwamba samahani hatutakuwa hewani jioni ? TBC wana kipindi chao Bungeni muda wote kuna dharula ipo imezuia hili ? Kasheshe ulibana sana lakini sasa uko loose utabondwa tu .Ongea utete hoja si vijimaelezo .Ndiyo CCM haona tofauti ni ZANU/PF na nina ushahidi .

ZANU/PF bendera yao chama ia rangi za Bendera ta Taifa sawa na rangi za CCM ziko katila bendera ta Taifa na tabia zao hazina tofauti .Hapa unaweza kusema tunasema vibaya serikali ? Kajiunge na wenzio anza blogu yako useme mema na mafisadi watakufuata kaama wanavyo kutuma hapa .Si lazima uandike mkuu unaweza kusoma na ukameza misumari ukaanza kusikilizia pia ni life .
Bro achana na huyo Kassheshe.hiyo tbc1 iko chini ya serikali na ndio mana waliweza kuacha kuonyesha bunge kipindi kile cha kamati ya ricmond wakakimbilia kuonyesha rais akiongea na wazee wa Dar es salaam.sasa huyo hakuna haja ya kubishana nae naona washapanga na TIDO JAMAA WA KWENYE JF WAKIONGEA SANA WE WAAMBIE WAKUONYESHE RATIBA TA TBC 1 YA LEO.unajua watu wanadhani hata kama hatupo bongo hatufuatilia mambo ya huko wakati spika anaahirisha kikao cha bunge sa sita mchana,mtangazaji wa tbc1 aliaga na kusema tukutane tena saa kumi na moja jioni sasa alikuwa anamaanisha nini huyo dada..na redio pia wakagoma kutangaza mana mi baada ya kuona tv hakuna kitu nikaswitc kwenye radio.huko nako holla sijui wanatutafuta nini watz.
 
Back
Top Bottom