HATARI: Dini inatumika na wanasiasa kama mwamvuli lakini tatizo liko hapa

Mungu ni yule ambae hafananishwi na chochote sio katika viumbe wala vitu,ibada ni jambo lolote jema analofanya mwanadamu linalompendeza mungu mfano kusali,kutoa sadaka,kusaidia wasiojiweza na mengine yanayompendeza mungu

Hizi maana zako ni usahihi lkn zina mapungufu.

Mungu ni yule ambae hafananishwi na chochote sio katika viumbe wala vitu, si Kweli Bali badala ya Mungu ungeweka neno Allah, Mwenyezi Mungu ndie asiyefananishwa na chcht.

ibada ni jambo lolote jema analofanya mwanadamu linalompendeza mungu mfano kusali,kutoa sadaka...... Kwa mujibu wa ayah halo chini kuna ibada za kweli na kuna ibada za kishetani...... Lkn zote ni ibada. Ungeulizwa ibada za kweli ni zipi ungeleta jibu uliloliandika.... Lkn kabla hatujafafanua ibada zipi ni za kweli au za Uongo ulipaswa ulete tafsiri ya neno ibada.

Quran Surat Kafirun 1-6.
Sema: Enyi makafiri!
Siabudu mnacho kiabudu;
Wala sitaabudu mnacho abudu.
Wala nyinyi hamtaabudu ni ninaye muabudu. Ninyi mna dini yenu,
nami Nina dini yangu

Hivyo kabla ya kutaka kujua Mungu wa kweli na anaepaswa kuabudiwa ni yupi, ayah ktk surah hii inafutatanulia kuwa

1. Kuna Mungu wa kweli na Miungu mingi wa Uongo (siabudu mnachokiabudu ikiwa ni masanamu nk)

2. Pia hapa tunapata maana ya neno kuabudu, asili ya neno hili ibada linatokana na neno la kiarabu abd, likiwa na maana Mtumwa, kutumikia nk. Hivyo siabudu mnachokiabudu inamaana siwi mtumwa wa mnachuoabudu, au situmikii mnachokiabudu (Miungu yenu)

Ninyi mna dini yenu,
nami Nina dini yangu, bi maana ninyi MNA mfumo wenu wa maisha nami Nina mfumo au njia yangu wa maisha, ambao ndio neno dini
 
Shukrani kwa maarifa
 
Back
Top Bottom