Hatari: Foward ya Yanga Mechi mbili goli 6

hiram

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
266
Reaction score
393
Wakati watani zao wa jadi wakiambulia ushiindi kiduchu wa kigoli kimoja Yanga wamefanikiwa kutia nyavuni bao sita kwa mechi mbili tu.
 
Wakati watani zao wa jadi wakiambulia ushiindi kiduchu wa kigoli kkimoja Yanga wamefanikiwa kutia nyavuni bao sita kwa mechi mbili tu
Duu! Goli zenyewe za dakika za lala salama? Hadi mlipoanza kuachiwa ofside ndipo mkaweza alafu tambo wakati ndani ya hizo mechi mbili golikipa wenu kisha tunguliwa 4!
 
Pia usisahau mechi mbili magoli ya kufungwa manne.

Ni sawa na fisi aliyepigwa mkuki anakimbia huku anakula utumbo wake
 
Wakati watani zao wa jadi wakiambulia ushiindi kiduchu wa kigoli kimoja Yanga wamefanikiwa kutia nyavuni bao sita kwa mechi mbili tu.
Na katika hizo mechi mbili mumesokomezwa migoli minne. Aibu!!!!
 
Offside tupu,,***** zenu.
July 3 mje sasa mkutane na mziki wa cd elfu arobaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…