Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu! Goli zenyewe za dakika za lala salama? Hadi mlipoanza kuachiwa ofside ndipo mkaweza alafu tambo wakati ndani ya hizo mechi mbili golikipa wenu kisha tunguliwa 4!Wakati watani zao wa jadi wakiambulia ushiindi kiduchu wa kigoli kkimoja Yanga wamefanikiwa kutia nyavuni bao sita kwa mechi mbili tu
Na katika hizo mechi mbili mumesokomezwa migoli minne. Aibu!!!!Wakati watani zao wa jadi wakiambulia ushiindi kiduchu wa kigoli kimoja Yanga wamefanikiwa kutia nyavuni bao sita kwa mechi mbili tu.
hili ndo tatizo lenu hata mkaitwa utopolo...mada ni forward ya YANGA mzee
Wewe ni wa kupimwa akili, yaani unafukuza mwizi huku umeacha mlango wa nyumba wazi,akili hizi zipo Utopolo tu.tunazungumzia forwardline
Wao wamefungwa ngapi?Wakati watani zao wa jadi wakiambulia ushiindi kiduchu wa kigoli kimoja Yanga wamefanikiwa kutia nyavuni bao sita kwa mechi mbili tu.
Vipi beki ya Yanga nayo??Wakati watani zao wa jadi wakiambulia ushiindi kiduchu wa kigoli kimoja Yanga wamefanikiwa kutia nyavuni bao sita kwa mechi mbili tu.