Hatari: Foward ya Yanga Mechi mbili goli 6

Hatari: Foward ya Yanga Mechi mbili goli 6

20210622_143910.jpg
 
Wakati watani zao wa jadi wakiambulia ushiindi kiduchu wa kigoli kimoja Yanga wamefanikiwa kutia nyavuni bao sita kwa mechi mbili tu.
Kwa hiyo wale wa mechi moja goli saba waandike wapi?
 
Wakati watani zao wa jadi wakiambulia ushiindi kiduchu wa kigoli kimoja Yanga wamefanikiwa kutia nyavuni bao sita kwa mechi mbili tu.
Huku beki zao zikiruhusu bao 4 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mpaka sasa Simba wana bao nyingi kuliko jumla ya bao za Yanga na Azam zikijumlishwa. Na leo wamepiga mtu 4-1
 
Back
Top Bottom