Hatari gani aliyonayo Harmonize mpaka alindwe hivi?

U
Labda ana mwili wa dhahabu
Usiwe na fikra duni,fungua ubongo waza kwa mapana na marefu!
Harmonize ni national figure kwa sasa HV,anaingiza pesa nyingi,anabiashara,profile yake IPO juu,anaweza kutekwa na makundi ya kiarifu,ili yadai fidia.
Kama watu wanaweza kuiba watoto,harafu wakadai fidia,sembuse kwa mwanamuziki kama Harmonize,
Pili inaweza kuwa ni strategy ya kukuza profile yake kwenye game.unajiweka kwenye sport light! Unajaribu Ku "attract attention"
Tatu,vile vile anatoa ajira,inawezekana hao security wanaomlinda,ni wafanyakazi wa kampuni yake ya ulinzi.
Hivi unajua Joti anathamani gani kwa tigo?matangazo anayofanya unajua yanathsmani kiasi gani?wapinzani wa tigo wakiamua kumdhuru itakuaje!?
Kwa hiyo ukiona anapewa ulinzi mkubwa akiwa kwenye shughuri zake,utakiwi kushangaa.
Mwisho,usipende kukebehi,kama kitu ukijui,uliza kwanza.
 
Ni mapambo anajuwa sababu yake mwenyew mana sidhan kama anawatumia bure
 
Maisha ya usanii mbwe mbwe nyingi, kuna matajiri wakubwa lakini hawajiwekei walinzi namna hii , sembuse wakina kajamba nani
 
Celebrity..Status na Branding..

Kama kilichokufanya uwe celebrity ni high life na maisha ya juu..., ili ku-maintain status na kuendelea kupata wateja wanao-appreciate your lifestyle inabidi kuwa na lifestyle inayoendana na image yako (that lifestyle is an investment)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 1211215
Au ni show off za baba wachungaji zinaigwa?
Hata wewe ukitaka kulindwa pesa yako tu,unadhani hapo analindwa bure?katoa pesa,kawapa ajira watu,kama una hiyo jeuri basi nawewe ruksa kufanya,ingawa hawa walinzi naona wamevaa fulana za wapiga picha wa kamera na toys za bastola wanazochezea watoto
 
Mimi hivi karibuni nitakuja na style moja hatari sana. Na hela nitakayopiga siyo ya kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…