Hatari gani aliyonayo Harmonize mpaka alindwe hivi?

Hatari gani aliyonayo Harmonize mpaka alindwe hivi?

Punguza wivu

Pambana kutafuta pesa hizi hasira na wivu utapotea automatically
mkuu sina wivu na fedha zake dogo ila namwonea huruma kwa kuwa fedha ya sasa inaweza kumfaa zaidi ya miaka hamsini lakini nauhakika hana plan za miaka 10 kwa pato kubwa analopata
 
Yeye anayemwambia mshamba, huku hajatoa ajira hata kwa house girl!
ni kweli house girl sina lakini natumia taaluma yangu kutengeneza watu wajiajiri na kuboresha maisha kwa kubadilisha mfumo wa maisha na nimefanikiwa kwa zaidi ya watu 4000
 
Acheni alindwe hao walinzi wana familia aseee unoko unoko sio mzuri,wakipunguzwa then harmo akawa anatembea peke ake hao majamaa wakaja mtaani kutukaba mtaanza mlalamikia nani?

Hivi hizo mbavu zikikosa kazi then zikawa zinakuvizia wewe umetoka kazini wakutie kabali hv utaacha toa kila kitu kweli? hadi ambavyo hujaambiwa unaweza ukatoa.

N sawa na wale wanaochongea wenzao wenye vyeti feki..hivi unamchongea mtu anacheti feki akifukuzwa kazi wewe unafaidika nini? basi bora afukuzwe kazi then nafasi yake apewe baba ako au ndugu yako ila nafasi anapewa mwingineeeee kbsaaaaa hata humjui halafu unachekelea.

Mnapata faida gani kuwa na vihere here na maisha na kula za watu wengine aseee,ifike tu mahali muwe mnaongelea ,mambo ya familia zenu na kuacha maisha ya watu maana huo ndio Uchawi,sema mmekosa vifaaa tu vya kupaaa angani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umetisha
 
mkuu sina wivu na fedha zake dogo ila namwonea huruma kwa kuwa fedha ya sasa inaweza kumfaa zaidi ya miaka hamsini lakini nauhakika hana plan za miaka 10 kwa pato kubwa analopata
Huyo anachangamsha genge mkuu. Usiwe nae serious sana.
 
Mkuu baki tu tusubiri kulipwa NOAH na BALIMI zetu! Afghanistan hakufai. Mmarekani mbishi tu lkn cha moto anakiona kule
Wanakodiwa kwa bei gani?? Nataka na mm niwakodi kama 6 hivi naenda Afuganistani nikitoka hapo nielekee Yemen...
 
mkuu sina wivu na fedha zake dogo ila namwonea huruma kwa kuwa fedha ya sasa inaweza kumfaa zaidi ya miaka hamsini lakini nauhakika hana plan za miaka 10 kwa pato kubwa analopata
Samahani mkuu wewe unaplan gani ya miaka 5 ijayo?
 
Samahani mkuu wewe unaplan gani ya miaka 5 ijayo?
Si busara sana kueleza hapa lakini ninayo naelewa ninakokwenda japo changamoto ni nyingi.
unaweza kuanza hata kwa mwaka mmoja mmoja na ukapima malengo na utekelezaji na ukajua mapungufu.
nilishawahi weka uzi kama huu kabla ya mwaka kuanza kama sikosei lakini kwakuwa wengi hatupendi kusoma vitu virefu hatukuweza kuona kitu.
 
ni kweli house girl sina lakini natumia taaluma yangu kutengeneza watu wajiajiri na kuboresha maisha kwa kubadilisha mfumo wa maisha na nimefanikiwa kwa zaidi ya watu 4000
Acha nao hao wale kwa jasho lao na nguvu walizo nazo, yawezekana hiyo taaluma kama yako hawakuipata mkuu
 
Back
Top Bottom