Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Labda mkuuKwani hao mabaunsa wanalipwa na kodi za serikali? Acha wivu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mkuuKwani hao mabaunsa wanalipwa na kodi za serikali? Acha wivu.
mkuu sina wivu na fedha zake dogo ila namwonea huruma kwa kuwa fedha ya sasa inaweza kumfaa zaidi ya miaka hamsini lakini nauhakika hana plan za miaka 10 kwa pato kubwa analopataPunguza wivu
Pambana kutafuta pesa hizi hasira na wivu utapotea automatically
ni kweli house girl sina lakini natumia taaluma yangu kutengeneza watu wajiajiri na kuboresha maisha kwa kubadilisha mfumo wa maisha na nimefanikiwa kwa zaidi ya watu 4000Yeye anayemwambia mshamba, huku hajatoa ajira hata kwa house girl!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umetishaAcheni alindwe hao walinzi wana familia aseee unoko unoko sio mzuri,wakipunguzwa then harmo akawa anatembea peke ake hao majamaa wakaja mtaani kutukaba mtaanza mlalamikia nani?
Hivi hizo mbavu zikikosa kazi then zikawa zinakuvizia wewe umetoka kazini wakutie kabali hv utaacha toa kila kitu kweli? hadi ambavyo hujaambiwa unaweza ukatoa.
N sawa na wale wanaochongea wenzao wenye vyeti feki..hivi unamchongea mtu anacheti feki akifukuzwa kazi wewe unafaidika nini? basi bora afukuzwe kazi then nafasi yake apewe baba ako au ndugu yako ila nafasi anapewa mwingineeeee kbsaaaaa hata humjui halafu unachekelea.
Mnapata faida gani kuwa na vihere here na maisha na kula za watu wengine aseee,ifike tu mahali muwe mnaongelea ,mambo ya familia zenu na kuacha maisha ya watu maana huo ndio Uchawi,sema mmekosa vifaaa tu vya kupaaa angani.
Huyo anachangamsha genge mkuu. Usiwe nae serious sana.mkuu sina wivu na fedha zake dogo ila namwonea huruma kwa kuwa fedha ya sasa inaweza kumfaa zaidi ya miaka hamsini lakini nauhakika hana plan za miaka 10 kwa pato kubwa analopata
ata wa shule tuItabidi nikulipe maana sina mdogo wangu
Wanakodiwa kwa bei gani?? Nataka na mm niwakodi kama 6 hivi naenda Afuganistani nikitoka hapo nielekee Yemen...
Samahani mkuu wewe unaplan gani ya miaka 5 ijayo?mkuu sina wivu na fedha zake dogo ila namwonea huruma kwa kuwa fedha ya sasa inaweza kumfaa zaidi ya miaka hamsini lakini nauhakika hana plan za miaka 10 kwa pato kubwa analopata
Si busara sana kueleza hapa lakini ninayo naelewa ninakokwenda japo changamoto ni nyingi.Samahani mkuu wewe unaplan gani ya miaka 5 ijayo?
Acha nao hao wale kwa jasho lao na nguvu walizo nazo, yawezekana hiyo taaluma kama yako hawakuipata mkuuni kweli house girl sina lakini natumia taaluma yangu kutengeneza watu wajiajiri na kuboresha maisha kwa kubadilisha mfumo wa maisha na nimefanikiwa kwa zaidi ya watu 4000
Watu hawajapimwa mkojo siku nyingiView attachment 1211215
Au ni show off za baba wachungaji zinaigwa?