Hatari! Ingieni kwa tahadhari

Katoliki hii ya kashfa ya kuwafanya naniliu watoto ama nyingine?
 
Makanisa ya Leo ukitaka kuombewa na Mchungaji mpaka uwe na laki na nusu.....
Unakuwa na mashaka.. Name hayo maombi
 
Freedom of worship imewapa watu nafasi ya kuabudu wajisikiavyo na ndio dunia tulipo leo.

Hapo ni mtu mmoja mmoja kung'amua wapi imani yake imepaona yafaa kuabudu
 
Freedom of worship imewapa watu nafasi ya kuabudu wajisikiavyo na ndio dunia tulipo leo.

Hapo ni mtu mmoja mmoja kung'amua wapi imani yake imepaona yafaa kuabudu
Good facts
 
Ni uhuru tu wa kuabudu na umahiri wa watoa hizo ibada ndio huwavuta watu. Wapo wanaotoka RC na kuwa waislaam, wapo waislaam wanaokuwa wasabato, wapo wasabato wanakuwa angalikan na wapo wanajitoa kabisa na kuwa wapagani. Hivyo wapo wanaamini kuna Mungu na kuabudu na kuamua waabudu kwa amana gani na wapo wasioamini Mungu wakaishi watakavyo. Hivyo usishangae madhehebu yataongeza mengi tu kwakuwa hata namba ya watu inaongezeka. Kuhusu matangazo kwenye TV/radio ndio maana tunatoa sadaka.
 


Kama ilivyokuwa kwa Sodoma na Gomora mambo yanaongelewa wahusika wanapuuza na kusema wapinzani wa Imani Mwendokasi hawana Upako Na hivi hswajui ya Rohoni.
 
KANISA ni moja tu,TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME.
Nimesikia majuzi kati Papa kapendekeza maparoko waoe, itakuwa safi sana na itaongeza waumini na kuondoa hivi vikanisa makelele/vikanisa mchepuko
 
KWA TAARIFA YAKO: Kiti cha enzi cha Lucifer kiko pale Vatican.

Kwa kukosa kwenu maarifa mtaendelea kuangamizwa kimyakimya
Hilo jibu ulilompa kama ubongo wake unafanya kazi atang'amua jambo hapo,asiposhituka imekula kwake,satan lives in Vatican.
 
Mungu anatafuta watakao mwabudu katika Roho na kweli. Inawezekana hizo za awali zilipotoka ndiyo maana MUNGU akaruhusu zianzishwe mpya. Akili ya UNGU haichunguziki
 
Ikiwa tangu kale wazazi wangu walichanganywa basi sitahukumiwa kwa kudanganywa..


Kanisa nje Msafi ndani Mchafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…