Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Umeshakata mauno mazabahuni..KWA TAARIFA YAKO: Kiti cha enzi cha Lucifer kiko pale Vatican.
Kwa kukosa kwenu maarifa mtaendelea kuangamizwa kimyakimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshakata mauno mazabahuni..KWA TAARIFA YAKO: Kiti cha enzi cha Lucifer kiko pale Vatican.
Kwa kukosa kwenu maarifa mtaendelea kuangamizwa kimyakimya
Mengi ya makanisa yanafanya mazingaombweIla ungejuaje kama kuna bashite kama si kanisa hahaaaaa au hujaeleweka basi fafanua
Ni uhuru tu wa kuabudu na umahiri wa watoa hizo ibada ndio huwavuta watu. Wapo wanaotoka RC na kuwa waislaam, wapo waislaam wanaokuwa wasabato, wapo wasabato wanakuwa angalikan na wapo wanajitoa kabisa na kuwa wapagani. Hivyo wapo wanaamini kuna Mungu na kuabudu na kuamua waabudu kwa amana gani na wapo wasioamini Mungu wakaishi watakavyo. Hivyo usishangae madhehebu yataongeza mengi tu kwakuwa hata namba ya watu inaongezeka. Kuhusu matangazo kwenye TV/radio ndio maana tunatoa sadaka.Huwa najiuliza haya makanisa yameibukia wapi?zamani tulikua na dhehebu rasmi chache tu,nwapongeza Rc wao wamejitahidi kubaki stronger lkn makanisa Mengi yamegawanyika na waumini kuhamia Hays makanisa ya kisasa
Kweli kanisa za leo wanalipia matangazo ya biashata kwa tv/radio?
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
KWA TAARIFA YAKO: Kiti cha enzi cha Lucifer kiko pale Vatican.
Kwa kukosa kwenu maarifa mtaendelea kuangamizwa kimyakimya
Changamoto ni "PENTECOSTALISM" iliyopata kasi ktk karne ya 20: Wapiga deal wanaitumia hii kwa kificho cha Roho Mtakatifu; kwamba wenye roho mtatakifu wananena kwa lugha, wana mamiujiza lukuki, wako karibu zaidi na Mungu na wanafunuliwa mambo! Wakiona wamekwama wanasingizia upande wa pili kwamba ni kwasababu no imani (hujampokea roho kisawasawa)! PENTECOSTALISM = NO USE OF MIND POWER! NI KUFUNULIWA TU! Hii pentecostalism movement ndio inauletea shida ukristo wa leo! Shetani ameitumia concept hii kisawasawa! Manabii wa uongo ni lukuki na wamewasomba wengi wasiotambua kwambo Mungu alitupa brain tuitumie!
hii avatar yako kama haijua vileIla masuala ya Bashite lazima yasemwe tu hakuna msalia Mtume kabisa
Kama haijua mmh angalia maneno yako vzrhii avatar yako kama haijua vile
Nimesikia majuzi kati Papa kapendekeza maparoko waoe, itakuwa safi sana na itaongeza waumini na kuondoa hivi vikanisa makelele/vikanisa mchepukoKANISA ni moja tu,TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME.
nyie jamaa bwana mnajidanga sanaKANISA ni moja tu,TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME.
Mnapowachagua wacgungaji kuwa wabunge mnategemea nini?Mambo ya kufanya kanisa kuwa jukwaa la siasa...!
Wengine wamegeuza biashara
Baadhi ya viongozi wamepotoka maadili
NA MISIKITI JE????![]()
Hii picha inaeleza mengi ya kanisa la leo.
Watch out guys
Hilo jibu ulilompa kama ubongo wake unafanya kazi atang'amua jambo hapo,asiposhituka imekula kwake,satan lives in Vatican.KWA TAARIFA YAKO: Kiti cha enzi cha Lucifer kiko pale Vatican.
Kwa kukosa kwenu maarifa mtaendelea kuangamizwa kimyakimya