Hatari iwazi, watawala wa CCM vitendo na kauli zao kuwapeleka mahakama ya uhalifu dhidi ya binadamu ICC The Hague

Hatari iwazi, watawala wa CCM vitendo na kauli zao kuwapeleka mahakama ya uhalifu dhidi ya binadamu ICC The Hague

Jasusi mchambuzi wa taarifa, data analyst anafafanua hali ilivyo wazi kuhusu matendo ya vyombo chini ya utawala wa CCM


28 May 2025

BREAKING :FIRE: : Askofu Gwajima Aipasua CCM | Heche Aweka Wazi Wanaomuwinda

View: https://m.youtube.com/watch?v=5mEzFtc7Qyo
Huku ndani ya Chama ChaMapinduzi (CCM) kukiwaka moto kutokana na press conference ya majuzi ya Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe (CCM) kuhusu jangala utekaji, kuna taarifa za kutisha kuhusu Makamu Mwenyekiti wa Chamacha Demokrasia na Maendeleao (CHADEMA), Mheshimiwa John Heche
 
W
Ingelikuwa ni jambo jema kama mna ushahidi mkaenda huko The Hague mkafungua kesi. Lakini tatizo lenu kila siku kutupigia kelele JF! Arfhhhhh!!!
Haya mambo ni makubwa sana kwako. Unajua kusoma na kuandika tu. Utaelewa nn hapa? Kwamba wale watu 83 aliosema gwajima ni uongo!? Au unataka ushahidi gani haswa!?
 
September 17, 2024
Mheshimiwa rais Dr. Samia Hassan akitoa habari za ndani alizokabidhiwa na vyombo vya dola (state apparatus) kuhusu njama ovu za ku yumbisha ( destabilise) taifa,:

Uchambuzi wa hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan jana 17/9/2024 ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Moshi - Kilimanjaro · ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=FxffEr8bfkM
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Yale yaliyowapata mamia ya watanzania wale wa upinzani pia wengine wasio wanasiasa, na sasa kuwafikia raia wawili wa Kenya na Uganda yaani Boniface Mwangi na Agather Atuhaire yanaleta vuguvugu la kimataifa dhidi ya utawala wa awamu ya sita kukolea na kuna uwezekano Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua kali dhidi ya viongozi serikali ya CCM
 
Kama utani vile lakini uthibitisho wa watu kutekwa, kuumizwa, kutupwa na bado Bunge la CCM Dodoma mawaziri na wabunge wake kusisitiza wahanga zaidi wasakwe na kushughulikuwa ni ushahidi tosha siku si nyingi tutaona vigogo wakiwekewa vikwanzo na pia waranti ya INTERPOL kuwatia nguvuni kisha kupelekwa Mahakama ya ICC The Hague ipo njiani

16 June 2025
Simiyu, Tanzania

SAMIA ASTUKA WAKUBWA KUTAKA LISTI ZA PASIPOTI ZA WATU WAKE


View: https://m.youtube.com/watch?v=r02E0lcvrUg
Rais Samia Hassan ahoji ni vipi pasipoti za wakubwa zinatakiwa, maana kwa Tanzania mnyonge kupata passport ni shida,

Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan azidi kuhoji tena wakubwa hawa kuzitaka pasipoti za watu wake wakati huu, hii lazima tujiulize ...
 
Watanzania hii No Reforms No Election na utekaji, utupaji watu maporini, kesi za mchongo, kupotea kwa watu tupige kelele Umoja wa Mataifa na majukwaa ya kikanda pia kimataifa

Leo serikali yajitetea Umoja wa Mataifa:

18 June 2025


TANZANIA DEFENDS ITSELF AT AT UN RIGHTS COUNCIL DISMISSES TORTURE AND RIGHTS ABUSE ALLEGATIONS

View: https://m.youtube.com/watch?v=Kdae5nLtK18

Tanzania has defended itself at the UN Human Rights Council after being accused of mistreating human rights defenders.

The group DefendDefenders had told the Council that activists Boniface Mwangi from Kenya and Agather Atuhaire from Uganda were arrested, tortured and later deported after attending a court session for opposition leader Tundu Lissu.

Responding to the claims, Tanzania’s Ambassador to the UN, Dr. Abdallah Possi, denied any wrongdoing, saying the activists broke immigration laws by not stating their true purpose of visit.

He added that the government is investigating the allegations of torture and abuse and will take action if needed.

Tanzania says it is committed to human rights and is preparing for peaceful and fair elections in October 2025.
 
Kama utani vile lakini uthibitisho wa watu kutekwa, kuumizwa, kutupwa na bado Bunge la CCM Dodoma mawaziri na wabunge wake kusisitiza wahanga zaidi wasakwe na kushughulikuwa ni ushahidi tosha siku si nyingi tutaona vigogo wakiwekewa vikwanzo na pia waranti ya INTERPOL kuwatia nguvuni kisha kupelekwa Mahakama ya ICC The Hague ipo njiani.
View attachment 3347838
Hoja za Askofu Josephat Gwajima


View: https://m.youtube.com/watch?v=lIInNAywSIM
Hoja za Mh. Jesca Jonathani Msambatavangu, mbunge wa Iringa mjini kwa tiketi ya CCM.


Histori ya juzi tu, huko The Philippines viongozi na watawala wa chama dola wameisahau au wameamua kupuuza na kuendeleza udhalimu wao .

TOKA MAKTABA :

11 March 2025
Villamor Airbase, PH

IMETHIBITISHWA SASA NDEGE INAYOMCHUKUA MSHUKIWA DUTERTE IMESHAONDOKA KUELEKEA THE HAGUE UHOLANZI

View: https://m.youtube.com/watch?v=OgIVlTtNRXk

Rais Marco Junior wa Philippines amethibitisha kuwa rais wa zamani Duterte baada ya kushikiliwa kwa muda na mamlaka ya serikali ya The Philippines ili ijiridhishe kuipitia kwa umakini hati ya Interpol ya kumkamata Duterte kama imekidhi vigezo vyote vya kisheria vya taifa la the Philippines pia vigezo vya kimataifa.

Baada ya kutimiza zoezi hilo la kuipitia hati ya kumkamata ya Interpol kama ziko vizuri, na kuridhika ipo sawa, baadaye mamlaka za The Philippines ikahakikisha inampa haki zote za kiraia rais mstaafu Duterte ya nafasi ya kuonana na mkewe mpendwa pia kuagana na familia kabla ya kupandishwa ndege kwenda ICC Hague ..

Rais Marcos Junior alipohojiwa baada ya kuthibitisha kuwa Duterte ameondoka katika anga la ndege la the Philippines kuwa kupelekwa kwa Duterte hadi Mahakama ya Kimataifa ya The ICC kama ni mbinu ya kisiasa kumuondosha Duterte nchini The Philippines.

Rais Marcos Junior amesema hilo siyo kweli kwamba wamemtosa mpinzani wao Duterte, bali ni sehemu ya kuhakikisha haki inapatikana kupitia mfumo wa haki jinai ya kimataifa kwa pande zote mbili yaani upande wa rais mstaafu Duterte anayeshutumiwa, na upande mwingine wale walalamikaji raia wa the Philippines waliowasilisha malalamiko yao Mahakama ya Kimataifa Dhidi ya Uhalifu ya ICC The Hague Uholanzi.

Far fetched
 
Watanzania hii No Reforms No Election na utekaji, utupaji watu maporini, kesi za mchongo, kupotea kwa watu tupige kelele Umoja wa Mataifa na majukwaa ya kikanda pia kimataifa

Leo serikali yajitetea Umoja wa Mataifa:

18 June 2025


TANZANIA DEFENDS ITSELF AT AT UN RIGHTS COUNCIL DISMISSES TORTURE AND RIGHTS ABUSE ALLEGATIONS

View: https://m.youtube.com/watch?v=Kdae5nLtK18

Tanzania has defended itself at the UN Human Rights Council after being accused of mistreating human rights defenders.

The group DefendDefenders had told the Council that activists Boniface Mwangi from Kenya and Agather Atuhaire from Uganda were arrested, tortured and later deported after attending a court session for opposition leader Tundu Lissu.

Responding to the claims, Tanzania’s Ambassador to the UN, Dr. Abdallah Possi, denied any wrongdoing, saying the activists broke immigration laws by not stating their true purpose of visit.

He added that the government is investigating the allegations of torture and abuse and will take action if needed.

Tanzania says it is committed to human rights and is preparing for peaceful and fair elections in October 2025.


13 June 2025
Geneva, Switzerland

Tanzania: UN Experts alarmed by pattern of enforced disappearance and torture to silence opposition and critics​



GENEVA – UN human rights experts* today called on the Government of the United Republic of Tanzania to immediately stop the enforced disappearance of political opponents, human rights defenders and journalists, as a tool of repression in the electoral context.

“Curtailing press and media freedom, and intimidating journalists and human rights defenders, is unacceptable.

We are alarmed by reports of a pattern of repression in the lead-up to Tanzania’s general election in October 2025,” the experts said.

This appeal follows the enforced disappearance of two human rights defenders and journalists, Boniface Mwangi from Kenya and Agather Atuhaire from Uganda, in Dar es Salaam on 19 May 2025.

While other observers were denied entry, Mwangi and Atuhaire came to Tanzania to observe the trial of political opposition leader Tindu Lissu, who was charged with treason and publishing false information.

They were arrested by police officers and their fate and whereabouts remained concealed.

On 22 May 2025, Mwangi was found dumped in Ukunda, a coastal town in Kenya, and, a day later, Atuhaire was left in the border area between Tanzania and Uganda. Both were allegedly ill-treated and tortured before being released. Atuhaire was also reportedly sexually assaulted, highlighting the gendered nature of reprisals faced by women journalists and human rights defenders.


“More than 200 cases of enforced disappearance have been recorded in Tanzania since 2019,” the experts said. “The recent arbitrary arrest, torture and enforced disappearance of Mwangi and Atuhaire seems to be a flagrant tactic to suppress dissent and circumvent due process laws.”


Opposition leaders and their supporters have reported a pattern of escalating attacks and human rights violations, primarily in regions where political tensions are high.

These violations include arbitrary arrests, harassment, torture, and the enforced disappearance of youth leaders, human rights defenders, and members of the political opposition.


“We urge Tanzanian authorities to immediately stop concealing information about those arrested, as this amounts to enforced disappearance. They must also investigate and hold perpetrators to account for all violations,” the experts said.


“The Government must provide justice and reparations to the victims. This includes access to gender-sensitive medical, psychological, and legal support services for survivors of torture and sexual violence.”

The experts have raised their concerns with relevant authorities.

*The experts:

Gabriella Citroni, (Chair-Rapporteur), Grażyna Baranowska (Vice-Chair), Aua Baldé, Ana Lorena Delgadillo Pérez, Mohammed Al-Obaidi,
Working Group on Enforced or Involuntary Disappearances;

Irene Khan,
Special Rapporteur on the promotion and protection of the right to freedom of opinion and expression;

Mary Lawlor,
Special Rapporteur on the situation of human rights defenders;

Alice Jill Edwards,
Special Rapporteur on torture and other cruel, inhuman or degrading treatment or punishment;

Reem Alsalem,
Special Rapporteur on violence against women and girls, its causes and consequences

Source:
 
Jaji mkuu mstaafu wa Tanzania mheshimiwa Mohamed Chande Othman akijibu maswali baada ya kusoma ripoti


View: https://m.youtube.com/watch?v=vZpv2G_EU2w

On 17 June 2025, experts from the UN Independent International Fact-Finding Mission for the Sudan took questions from the media ahead of their update to the Human Rights Council at its 59th session
 
TOKA MAKTABA:


25 February 2025
Geneva, Tanzania

Damas Ndumbaro, Minister for Constitutional and Legal Affairs of Tanzania | #HRC58

UN Human Rights Council​


View: https://m.youtube.com/watch?v=Tg-LxsLY6WU
Statement delivered by Damas Ndumbaro, Minister for Constitutional and Legal Affairs of the United Republic of Tanzania, on 24 February 2025 during the high-level segment of the 58th session of the United Nations Human Rights Council..
 
TOKA MAKTABA :


06 March 2024
Geneva, Tanzania

HRC55 | Pindi Chana, Minister for Constitutional and Legal Affairs of Tanzania

UN Human Rights Council​


View: https://m.youtube.com/watch?v=HJEApu-cIO4
This statement was delivered by Pindi Chana, Minister for Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, on 28 February 2024 during the high-level segment of the 55th session of the United Nations Human Rights Council.
 
TOKA MAKTABA:


25 February 2025
Geneva, Tanzania

Damas Ndumbaro, Minister for Constitutional and Legal Affairs of Tanzania | #HRC58

UN Human Rights Council​


View: https://m.youtube.com/watch?v=Tg-LxsLY6WU
Statement delivered by Damas Ndumbaro, Minister for Constitutional and Legal Affairs of the United Republic of Tanzania, on 24 February 2025 during the high-level segment of the 58th session of the United Nations Human Rights Council..


TOKA MAKTABA:
February 2025

The Lawyer fighting for Maasai Land Rights * (Witness Documentary )

View: https://m.youtube.com/watch?v=xGyAFigPi7A
On the outskirts of Serengeti National Park in East Africa, Maasai face eviction from their land to make way for international tourism and hunting grounds. Human rights lawyer Joseph Oleshangay campaigns for his community to remain on its homeland as it has done for generations.While he represents Maasai communities in court, Joseph also remains close to his traditions among the cattle at his rural home near the Ngorongoro Crater. Risking his life to gather evidence from recently depopulated villages, Joseph battles in court where he leads the fight to resist the evictions.In the Shadow of the Serengeti is a documentary film by Benedict Moran
 
Hoja za wachokonozi, hili si deni la taifa


View: https://m.youtube.com/watch?v=yo5oaLy5iSw
Uchambuzi wa deni la taifa la jumla trilioni 107 huku deni la taifa la nje ni trilioni 74 huku trilioni 33 ni deni la ndani na kila mTanzania anadaiwa 1,700,000 Wachokonozi wanachambua hali ya deni na maana yake ..
 
Mashahidi ICC the Hague wanaweza pia kutoka ndani ya mfumo wa chama dola kongwe :

Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden! :​

Soma :
 
Back
Top Bottom