Hatari iwazi, watawala wa CCM vitendo na kauli zao kuwapeleka mahakama ya uhalifu dhidi ya binadamu ICC The Hague

Hatari iwazi, watawala wa CCM vitendo na kauli zao kuwapeleka mahakama ya uhalifu dhidi ya binadamu ICC The Hague

29 October 2025

Mchambuzi anaangalia yaliyojiri leo tarehe 29 October 2025 swali kuu je Utalawa dhalimu kandamizi utaamua kuuawa raia ili kubaki madarakani


View: https://m.youtube.com/watch?v=T0NryANp_k0

N a kama vyombo vya dola vikitii amri kuuwa wandamanaji je jumuiya ya kimataifa, Umoja wa Africa, SADC na Mahakama ya Kimataifa the Hague watachukual hatua kali dhidi ya utawalal wa Samia?
 
WAKILI KADA WA CCM ATOA SIRI YA ICC: MAHAKAMA INAYOWEZA KUMFUNGIA RAIS YOYOTE DUNIANI !

View: https://m.youtube.com/watch?v=EL6CmSWYq6U
Katika dunia ya kisasa, hakuna aliye juu ya sheria — hata marais!Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imeundwa kuhakikisha haki inatendeka kwa makosa makubwa ya kibinadamu kama vita, mauaji ya halaiki, na uhalifu dhidi ya ubinadamu.Lakini je, Marais wanaweza kweli kukamatwa na kufikishwa mbele ya ICC?
 
TOKA MAKTABA

1762544338706.jpeg
 

PRESIDENT SAMIA HASSAN AND HER GOVERNMENT ARE BEING INVESTIGATED BY THE ICC COURT "THIS IS WHAT IS GOING...​


View: https://m.youtube.com/watch?v=uBUpqd5hOoQ

There have been reports circulating that the President of the United Republic of Tanzania has been indicted at the International Criminal Court (ICC).

This has arisen from the killing of hundreds of Tanzanian youths who died since October 29 this year 2025.

So far, there has been no official statement or confirmation from the ICC in the Hague for very serious crimes such as committed by Samia Hassan government.

Basically, the ICC jurisdiction has a mandate to intervenes when a very serious crime has occurred and the legal system of the country concerned has failed or is not ready to deal with it


(a) crimes against humanity

(b) war crimes

(c) genocide

(d) crimes of aggression.
 
15 November 2025

Maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) wamewasili

View: https://m.youtube.com/watch?v=JlK201N9cgY
kwa ajili ya kuanza rasmi hatua za kisheria dhidi ya Samia Suluhu Hassan na washirika wake katika mauaji ya halaiki yanayoendelea nchini Tanzania huku latest reports zikitaja idadi ya waliouawa kuwa inazidi 10,000...
Source : JasusiTV
 
Ushahidi wa kisayansi na kiutaalamu ufuatao wa mauaji ya 29 October 2025 hadi mapema November 2025 faili latua mezani kwa mwendesha mashtaka mkuu wa ICC The Hague Uholanzi

GENGE LA WATU 11 WAMESHIRIKI KWA MAKUSUDI KUPANGA, KUTEKELEZA, KUFADHILI NA KUJARIBU KUFICHA MAUAJI


View: https://m.youtube.com/watch?v=XzSv0ZYc_yg
Biological forensic evidence damu, mate, nywele, ballistic residue, DNA, Finger print

Medical

Mass graves exhumation

Documental evidence

Communication email, military lod etc

Military IDs

Victims wameteswa wameuliwa

Ramani, GPS data, Satellite movement of troops, radio frequency

Financial records

AUDIO Walkie talkies, voice recording

Mobile phone, meta data GPS Cell towers, TCRA,

Electronic digital foot prints

Weapons, shell case ya silaha, zillizotumika

Cyber foresinc

Majina ya wauaji moja baada ya wengine kutoka vikosi maalum vilivyoombwa

Summary execution za watu ambao hawakuwapo ktk maandamano
 
Kama utani vile lakini uthibitisho wa watu kutekwa, kuumizwa, kutupwa na bado Oktoba 29, 2025 hadi 4 November 2025 wakaua waandamanaji kwa maelfu, kuzima maito ktk makaburi za halaiki, kukamata mamia

Kukamatwa kwa dikteta uchwara Nicolás Maduro wa Venezuela leo tarehe 03 Januari 2026 kwa peleka wimbi la khofu Kizimkazi hadi Dodoma

View: https://m.youtube.com/watch?v=E14oia8O2o0
 
Kama utani vile lakini uthibitisho wa watu kutekwa, kuumizwa, kutupwa na bado Bunge la CCM Dodoma mawaziri na wabunge wake kusisitiza wahanga zaidi wasakwe na kushughulikuwa ni ushahidi tosha siku si nyingi tutaona vigogo wakiwekewa vikwanzo na pia waranti ya INTERPOL kuwatia nguvuni kisha kupelekwa Mahakama ya ICC The Hague ipo njiani.
View attachment 3347838
Hoja za Askofu Josephat Gwajima


View: https://m.youtube.com/watch?v=lIInNAywSIM
Hoja za Mh. Jesca Jonathani Msambatavangu, mbunge wa Iringa mjini kwa tiketi ya CCM.


Histori ya juzi tu, huko The Philippines viongozi na watawala wa chama dola wameisahau au wameamua kupuuza na kuendeleza udhalimu wao .

TOKA MAKTABA :

11 March 2025
Villamor Airbase, PH

IMETHIBITISHWA SASA NDEGE INAYOMCHUKUA MSHUKIWA DUTERTE IMESHAONDOKA KUELEKEA THE HAGUE UHOLANZI

View: https://m.youtube.com/watch?v=OgIVlTtNRXk

Rais Marco Junior wa Philippines amethibitisha kuwa rais wa zamani Duterte baada ya kushikiliwa kwa muda na mamlaka ya serikali ya The Philippines ili ijiridhishe kuipitia kwa umakini hati ya Interpol ya kumkamata Duterte kama imekidhi vigezo vyote vya kisheria vya taifa la the Philippines pia vigezo vya kimataifa.

Baada ya kutimiza zoezi hilo la kuipitia hati ya kumkamata ya Interpol kama ziko vizuri, na kuridhika ipo sawa, baadaye mamlaka za The Philippines ikahakikisha inampa haki zote za kiraia rais mstaafu Duterte ya nafasi ya kuonana na mkewe mpendwa pia kuagana na familia kabla ya kupandishwa ndege kwenda ICC Hague ..

Rais Marcos Junior alipohojiwa baada ya kuthibitisha kuwa Duterte ameondoka katika anga la ndege la the Philippines kuwa kupelekwa kwa Duterte hadi Mahakama ya Kimataifa ya The ICC kama ni mbinu ya kisiasa kumuondosha Duterte nchini The Philippines.

Rais Marcos Junior amesema hilo siyo kweli kwamba wamemtosa mpinzani wao Duterte, bali ni sehemu ya kuhakikisha haki inapatikana kupitia mfumo wa haki jinai ya kimataifa kwa pande zote mbili yaani upande wa rais mstaafu Duterte anayeshutumiwa, na upande mwingine wale walalamikaji raia wa the Philippines waliowasilisha malalamiko yao Mahakama ya Kimataifa Dhidi ya Uhalifu ya ICC The Hague Uholanzi.

Kwanini Marekani huwa hasubiri ICC iamue?
 
25 June 2026
SAMIA HASSAN NA EMNERSON MNANGAGWA WASHUTUMIWA, HUKU SAMIA AKITOLEWA MFANO WA KUTUMIA DAMU KUBAKI MADARAKANI


Zimbabwe, Mabadiliko ya Katiba na Demokrasia barani Afrika | Ft. Rais wa Zamani Ian Khama

View: https://m.youtube.com/watch?v=zTuclfcw4H8
Tumeona pia mifano hai Oktoba 25 2025 Tanzania kuna wanasiasa wamekwenda mbali, wameteka bunge na mchakato mzima wa uchaguzi, wakawafunga wapizani, wakazuia chama kikuu cha upinzani halafu wakaamua kufanya mauaji ya kutisha ya raia ili kubaki madarakani. Viongozi wa aina hii ni wagonjwa wa akili ! Anakazia jenerali Khama

Kwa Zimbabwe, Mabadiliko ya Katiba na Demokrasia barani Afrika wameamua kuteka bunge na seneti baada ya kuwapachika bungeni wanasiasa hawa
Je, marekebisho ya katiba yanatumika kuimarisha demokrasia au kupanua mamlaka ya kisiasa?

Katika kipindi hiki cha Nation on Record, Rais wa zamani wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama anajadili mjadala unaokua kuhusu mipaka ya mihula ya urais, mabadiliko ya kikatiba, utawala wa kidemokrasia, na mrithi wa uongozi barani Afrika.

Kwa kutumia Zimbabwe kama mahali pa kuanzia, mazungumzo yanachunguza mitindo ya watawala kuigana kote barani kufanya mabadiliko haramu ya kikatiba, jukumu la SADC na Umoja wa Afrika, hali ya taasisi za kidemokrasia, na jinsi mustakabali wa Afrika unavyoweza kuonekana ikiwa viongozi wataendelea michezo hii hatari ya kuongeza muda wao wa kukaa madarakani.

Jiunge nasi kwa majadiliano ya wazi kuhusu demokrasia, uwajibikaji, haki za binadamu, na mustakabali wa uongozi wa Afrika.
Source : NR Nation on Record
 
Back
Top Bottom