Jasusi Mbobezi
Senior Member
- May 17, 2020
- 194
- 851
Labda kama umefundisha American International Schools zilizopo hapa nchini ambazo zinajinadi kutumia mitaala ya Marekani. Lakini kama siku moja utaenda America hebu fanya utafiti kwenye hili utagundua hata mitaala inayotumika huku Africa ina mapungufu ndomaana wazungu wenye akili hawawaleti watoto wao kwenye shule za bongo zinazotumia mitaala yao bali huwasomesha kwenye nchi husika.Acha uongo. Nimefundisha American International School. Ulichosema hapa ni uongo. Hicho ulichosema kipo hata kwenye physics. O level mnaambiwa mwanga husafiri katika mstari ulionyooka. Mkifika A level mnaambiwa mwanga uweza kupinda.