Hatari kuu inakuja. Wanaume wanatoweka, Wavulana wanaibuka kwa kasi

Hatari kuu inakuja. Wanaume wanatoweka, Wavulana wanaibuka kwa kasi

Unafaamu maana ya neno TEENEGER au TEEN... kwa urahosi sema TEN AGE.

Hao wako wa 29+ siyo.

Ma barehe ya kupiriliza miaka 18 ni ya wapi hiyo wakati wenye 18 ni watu wazima.
Hapo unazungumzia teenagers na dunia mzima wanasifa hizo ukitaka kuanza kuzungumizia wanaume Please at least anzia miaka 29+ na wala sio 29 kushuka chini..

Hata wanawake ukianza kuwazungumzia angalau basi 26+...


Nyie ndo mnatakaga mtoto akae kwenye kochi serious anangalia taarifa ya habari akicheza kidogo kofiiiiiii..Yaani mtu yupo kwenye balehe unamfananisha na wanaume watu wazima????
 
Maturity ni at 18 yrs. Kwa wenye unyafusi sema tuwavumilie hadi 21.

Zaidi ya hapo ni SHEEDAAA
Mkuu binafsi nadhani matured mind inaanzia 25 kwenda juu. Under 25 wake kwa waume huwa bado wana utoto wa balehe kwa asilimia kubwa.
 
Majukumu yatawafunza kiacha kukanyagwa na vizee vya kitasha.

Majukumu yatawafunza kuwaridhisha wake zao..
Kila jambo na wakati wake. Acha vijana wafurahie ujana wao, majukumu yatawafunza kila kitu it's the matter of time. Nyingine ni nyakati tu kwani hao wanawake/wasichana wa maana wako wapi siku hizi?
 
Hongera.

Kumbuka humpangii mungu muda wako wa kiishi hapa Suniani. Si lazima uzeeke ndio uondoke. Anza kwenda kusali.

Kumbuka kuwatafutia wanao cha kurithi kama wewe ulivyorithishwa.

Kumbuka kuishi maisha yenye amani pasipo kugombana na yeyote. Hata siye tunao kuudhi na kukutusi usitulipizie.
Nina duka la urithi,faza kadanja kaniachia ndinga, mimi na mademu,mademu na mimi,mimi ni mwendo wa bata kuanzia leo,kesho ni mapenzi ya MUNGU,nina miaka 26,nina watoto wawili kila mmoja na mama yake...nalewa kila weekend,nakula bata mwanzo mwisho,nikikaribia uzee nitaokoka,nitakuwa nashinda na kukesha kanisani,lakini kwa sasa ni bata mwanzo mwisho..

Pambana na uzee wako faza
 
Tunapenda wajukuubtatizo.

Hamuoi kutuzalia wajukuu.

Hamna nguvu za kuzalisha wajukuu.

Mnapiga moja chali matikeo yake tunawazalishia wajukuu zetu. Yaani tumewazaa nyie na tunazaa na watoto wenu.
Nyie wazee muda wenu ushaisha acheni vijana tutambe...

Nyie subirini wajukuu muwalee..[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Baadhi yaweza kuwa ni MAISHA. Lakini hili la kushindwa kupiga ngozi nibtatizo.

Nikiwa chuo pale hall 1 au hall 3 au hall 7 nioikuwa nawaburuza ma meti wote wa 3 chumbani overnight na kesho yake naingia kwenye mtihani.

Angalieni hili la nguvu za kiume ni janga la kitaifa.

Tusipozaliana waarabu watatuvamia sisi na wake au dada zetu.

Tafuteni dawa mapema.
Mtoa mada kuna sehem umefeli,,

KUNYOA KIDUKU.... Hiyo ni hali ya mabadiliko tu ya maisha hata ukiangalia zaman wazazi wetu walikuwa wanapiga mapanki makubwa arafu wanaweka mstari mmoja kati... Na hapo utawaitaje?

MAVAZI.... kutokana na mabadiliko ya utandawazi uwezi ukasema eti watu wavae Raizoni sijui suruali za juu ni banie chini niachie na tena zile suruali zilikuwa zinabana juu na vishati vinavyobana, makabila mengine walikuwa wanavaa ngozi si wanaume si wanawake nusu ya miili yao ipo uchi...lazima watu waende na nyakati...kadri siku zinavyozidi kwenda mambo yanabadilika ...

Yaani mi naona hayo yote uliyoandika yametokana na utandawazi... Maisha ndo yamewashape vijana hivyo...na hata nyie enzi zenu maisha ndo yaliwafanya muwe vile...
 
Kila MTU na mtazamo wake.....lkn tupunguze kufatiliana jmn....MTU humlishi ila unataka umpangie namna ya kuishi,hii kwangu sio sawa
 
8. Wanajisifia wazuri.

Mwanaume huwezi kujisifia mzuri, ukijiona wewe mzuri lazima upate bwana tu no way out.
Kama huyu hapa
tapatalk_1564893878930.jpeg
 
Ulimbukeni unawasumbua... Ukiwa mwanaume ndo huruhusiwi kutengeneza miguu?... Hapo huoni kama wanasaidiana?... Uyo si anamlipa mwenzake...hiyo hela ya anayolipa ndo anatunza familia yake... Jamaa amebuni biashar ya kutengeneza miguu bado hamtaki,,, watu walianzisha kuuza juis ya miwa mkawa mnawatukana mnawaita wanaume wa dar... Yaanj nyie wazee mliozoea kulima mnataabu kweli... Kwanza mwisho wa mwezi bado tu mpate mafao yenu mpumzike maana vijiwe vya kahawa vimewashinda.
Duh, kweli unashangilia ujinga huo kufanywa na mwanaume rijali? Kwa hiyo mume na mke wawe wanatengenezwa kucha na kusafishwa miguu kama hivyo?Fikiri mara 2 unipe jibu.Huyo mwanaume akiwa mzee atakuwa kama huyu hapa
 

Attachments

  • FB_IMG_1565754146134.jpg
    FB_IMG_1565754146134.jpg
    31.8 KB · Views: 15
Duh, kweli unashangilia ujinga huo kufanywa na mwanaume rijali? Kwa hiyo mume na mke wawe wanatengenezwa kucha na kusafishwa miguu kama hivyo?Fikiri mara 2 unipe jibu.Huyo mwanaume akiwa mzee atakuwa kama huyu hapa
Labda nikuulize,,, wewe unafurahia kunyolewa nywele na mwanaume mwenzako?.... Kwani unavyotengenezwa kucha ndo uume unakuwa hausimami tena au?.... Hiyo ni kazi kama kazi zingine brother.. Ni kama wewe unavyonyolewa nywele tu na kinyozi tu... Au ukiwa mwanaume ndo inabidi uwe mchafu?... Uwe ujijali?... Wazee mnatabu sana
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunapenda wajukuubtatizo.

Hamuoi kutuzalia wajukuu.

Hamna nguvu za kuzalisha wajukuu.

Mnapiga moja chali matikeo yake tunawazalishia wajukuu zetu. Yaani tumewazaa nyie na tunazaa na watoto wenu.
 
Mvulana wa between 18 na 26 hivi anatumia viagra....
Hawa wakifika 30+ ndiyo wale wa kimoja chali....tena kimoja chenyewe anakojoa povu....

Baadhi yaweza kuwa ni MAISHA. Lakini hili la kushindwa kupiga ngozi nibtatizo.

Nikiwa chuo pale hall 1 au hall 3 au hall 7 nioikuwa nawaburuza ma meti wote wa 3 chumbani overnight na kesho yake naingia kwenye mtihani.

Angalieni hili la nguvu za kiume ni janga la kitaifa.

Tusipozaliana waarabu watatuvamia sisi na wake au dada zetu.

Tafuteni dawa mapema.
 
Mpaka tunaandika hivi...ni kwamba wameshakuwa kero mtaani...unakuta mvulqna hawezi hata kumsaidia baba yake kupiga jeki kwenye gari endapo wamepata pancha njiani....
Hawezi hata kukata fensi pale kwao paonekane kama kuna watu wanaishi.......wa namna si bora angezaliwa wa kike, huenda wazazi wangekula hata mahari..[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Kila MTU na mtazamo wake.....lkn tupunguze kufatiliana jmn....MTU humlishi ila unataka umpangie namna ya kuishi,hii kwangu sio sawa
 
Ufunguo wa geto [emoji23][emoji23][emoji23]
....[emoji23][emoji23][emoji23]ndani ya begi pia kuna pakiti ya viagra, k y jelly, condom, flash na smartphone mbili tatu za wizi anatafutia mteja.....hawa madogo ndiyo wanahamasisha wizi wa laptop,smartphone and the likes coz wanauziana wao kwa wao....
Sidhani kama hizi laptops wanauziwa wamama wauza mchicha sokoni.
 
Kilichoandikwa hapa mmezidi kujilegeza zaidi ya wasichana tunatamani tuzae watoto wa kike kuliko nyinyi wa kiume kwani mnaaibisha zamani shoga tulikua tu najua hakusoma leo hii na wenye vyetu bora wa kike kuliko hii mijitu inayo kazwa kutwa kucha haiwezi kazi ngumu inabeba mabegi mchana kutwa.
Sasa mjomba mbona unang'ang'a nia sana ushoga??
Kwani ushoga na uvulani vinahusiana vipi!??..hujui kama siku hizi hadi watu wazima ni mashoga!!
Tatizo nyie wazee mnashindwa kuelewa vitu vidogo tu,kwamba nyinyi ni wazee,na wao ni wavulana..waacheni wafurahie maisha yao ya uvulana,kama unaona anakukera sana na huduma unazompa,zisitishe,tena mwambie kabisa "kutokana na hili na hili mimi nimesitisha huduma zangu kwako,kwa hiyo hujitegemee"..mbona rahisi tu,sasa wewe baba mzima unashindwa kuzungumza na mwanao,unakuja kutoa povu huku,hujui kama kuna watu wengine tayari washaandaliwa maisha na wazee wao ambao walikuwa wanajielewa
 
Hongera.
Kumbuka humpangii mungu muda wako wa kiishi hapa Suniani. Si lazima uzeeke ndio uondoke. Anza kwenda kusali.
Kumbuka kuwatafutia wanao cha kurithi kama wewe ulivyorithishwa.
Kumbuka kuishi maisha yenye amani pasipo kugombana na yeyote. Hata siye tunao kuudhi na kukutusi usitulipizie.
Ahsante
Wewe kidogo tunaweza kuelewana maana una busara,ninachojaribu kumueleza ndugu yangu ni kwamba kuna nyakati mtu ni lazima upitie mambo fulani hasa kwa vijana,hata MUNGU anatambua ndo maana anakwambia "mkumbuke MUNGU siku za ujana wako"..MUNGU alituagiza hivi si kwa bahati mbaya,ila anajua ni nini hutokea katika siku hizo za ujana
Kwa hiyo nashauri awaache vijana waishi maisha yao ya ujana,ikifika wakati nao wataanza kuona mabadiliko,wataishi kama watu wazima..haiwezekani kijana wa miaka 24 aishi kama mtu wa miaka 50 haaaah ha aaaaaaaaa haiwezekani hata siku moja
 
Tunapenda wajukuubtatizo.
Hamuoi kutuzalia wajukuu.
Hamna nguvu za kuzalisha wajukuu.
Mnapiga moja chali matikeo yake tunawazalishia wajukuu zetu. Yaani tumewazaa nyie na tunazaa na watoto wenu.
Si kweli,si vizuri kuongopa

Huwezi kunidanganya mimi,labda hao wazee wenzako kwenye vijiwe vya kahawa ndo unaweza kuwadanganya
We unadhani mi naishi mbinguni?????😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom