Hapo unazungumzia teenagers na dunia mzima wanasifa hizo ukitaka kuanza kuzungumizia wanaume Please at least anzia miaka 29+ na wala sio 29 kushuka chini..
Hata wanawake ukianza kuwazungumzia angalau basi 26+...
Nyie ndo mnatakaga mtoto akae kwenye kochi serious anangalia taarifa ya habari akicheza kidogo kofiiiiiii..Yaani mtu yupo kwenye balehe unamfananisha na wanaume watu wazima????
Mkuu binafsi nadhani matured mind inaanzia 25 kwenda juu. Under 25 wake kwa waume huwa bado wana utoto wa balehe kwa asilimia kubwa.
Kila jambo na wakati wake. Acha vijana wafurahie ujana wao, majukumu yatawafunza kila kitu it's the matter of time. Nyingine ni nyakati tu kwani hao wanawake/wasichana wa maana wako wapi siku hizi?
Nina duka la urithi,faza kadanja kaniachia ndinga, mimi na mademu,mademu na mimi,mimi ni mwendo wa bata kuanzia leo,kesho ni mapenzi ya MUNGU,nina miaka 26,nina watoto wawili kila mmoja na mama yake...nalewa kila weekend,nakula bata mwanzo mwisho,nikikaribia uzee nitaokoka,nitakuwa nashinda na kukesha kanisani,lakini kwa sasa ni bata mwanzo mwisho..
Pambana na uzee wako faza
Nyie wazee muda wenu ushaisha acheni vijana tutambe...
Nyie subirini wajukuu muwalee..[emoji16][emoji16][emoji16]
Mtoa mada kuna sehem umefeli,,
KUNYOA KIDUKU.... Hiyo ni hali ya mabadiliko tu ya maisha hata ukiangalia zaman wazazi wetu walikuwa wanapiga mapanki makubwa arafu wanaweka mstari mmoja kati... Na hapo utawaitaje?
MAVAZI.... kutokana na mabadiliko ya utandawazi uwezi ukasema eti watu wavae Raizoni sijui suruali za juu ni banie chini niachie na tena zile suruali zilikuwa zinabana juu na vishati vinavyobana, makabila mengine walikuwa wanavaa ngozi si wanaume si wanawake nusu ya miili yao ipo uchi...lazima watu waende na nyakati...kadri siku zinavyozidi kwenda mambo yanabadilika ...
Yaani mi naona hayo yote uliyoandika yametokana na utandawazi... Maisha ndo yamewashape vijana hivyo...na hata nyie enzi zenu maisha ndo yaliwafanya muwe vile...
Kama huyu hapa8. Wanajisifia wazuri.
Mwanaume huwezi kujisifia mzuri, ukijiona wewe mzuri lazima upate bwana tu no way out.
Ufunguo wa geto πππHyo ni mfano wao na begi lake mgongoni....muulize kubeba nini...hana majibu
Duh, kweli unashangilia ujinga huo kufanywa na mwanaume rijali? Kwa hiyo mume na mke wawe wanatengenezwa kucha na kusafishwa miguu kama hivyo?Fikiri mara 2 unipe jibu.Huyo mwanaume akiwa mzee atakuwa kama huyu hapaUlimbukeni unawasumbua... Ukiwa mwanaume ndo huruhusiwi kutengeneza miguu?... Hapo huoni kama wanasaidiana?... Uyo si anamlipa mwenzake...hiyo hela ya anayolipa ndo anatunza familia yake... Jamaa amebuni biashar ya kutengeneza miguu bado hamtaki,,, watu walianzisha kuuza juis ya miwa mkawa mnawatukana mnawaita wanaume wa dar... Yaanj nyie wazee mliozoea kulima mnataabu kweli... Kwanza mwisho wa mwezi bado tu mpate mafao yenu mpumzike maana vijiwe vya kahawa vimewashinda.
Labda nikuulize,,, wewe unafurahia kunyolewa nywele na mwanaume mwenzako?.... Kwani unavyotengenezwa kucha ndo uume unakuwa hausimami tena au?.... Hiyo ni kazi kama kazi zingine brother.. Ni kama wewe unavyonyolewa nywele tu na kinyozi tu... Au ukiwa mwanaume ndo inabidi uwe mchafu?... Uwe ujijali?... Wazee mnatabu sanaDuh, kweli unashangilia ujinga huo kufanywa na mwanaume rijali? Kwa hiyo mume na mke wawe wanatengenezwa kucha na kusafishwa miguu kama hivyo?Fikiri mara 2 unipe jibu.Huyo mwanaume akiwa mzee atakuwa kama huyu hapa
Tunapenda wajukuubtatizo.
Hamuoi kutuzalia wajukuu.
Hamna nguvu za kuzalisha wajukuu.
Mnapiga moja chali matikeo yake tunawazalishia wajukuu zetu. Yaani tumewazaa nyie na tunazaa na watoto wenu.
Na asubuhi anakula mkate mzima mwenyewe...hajali kuwa watoto wa mwenye familia hawajala...Wanatia hasira Yan Basi tu........miaka 29 unaishi kwa shemeji
Baadhi yaweza kuwa ni MAISHA. Lakini hili la kushindwa kupiga ngozi nibtatizo.
Nikiwa chuo pale hall 1 au hall 3 au hall 7 nioikuwa nawaburuza ma meti wote wa 3 chumbani overnight na kesho yake naingia kwenye mtihani.
Angalieni hili la nguvu za kiume ni janga la kitaifa.
Tusipozaliana waarabu watatuvamia sisi na wake au dada zetu.
Tafuteni dawa mapema.
Kila MTU na mtazamo wake.....lkn tupunguze kufatiliana jmn....MTU humlishi ila unataka umpangie namna ya kuishi,hii kwangu sio sawa
....[emoji23][emoji23][emoji23]ndani ya begi pia kuna pakiti ya viagra, k y jelly, condom, flash na smartphone mbili tatu za wizi anatafutia mteja.....hawa madogo ndiyo wanahamasisha wizi wa laptop,smartphone and the likes coz wanauziana wao kwa wao....Ufunguo wa geto [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mjomba mbona unang'ang'a nia sana ushoga??Kilichoandikwa hapa mmezidi kujilegeza zaidi ya wasichana tunatamani tuzae watoto wa kike kuliko nyinyi wa kiume kwani mnaaibisha zamani shoga tulikua tu najua hakusoma leo hii na wenye vyetu bora wa kike kuliko hii mijitu inayo kazwa kutwa kucha haiwezi kazi ngumu inabeba mabegi mchana kutwa.
AhsanteHongera.
Kumbuka humpangii mungu muda wako wa kiishi hapa Suniani. Si lazima uzeeke ndio uondoke. Anza kwenda kusali.
Kumbuka kuwatafutia wanao cha kurithi kama wewe ulivyorithishwa.
Kumbuka kuishi maisha yenye amani pasipo kugombana na yeyote. Hata siye tunao kuudhi na kukutusi usitulipizie.
Si kweli,si vizuri kuongopaTunapenda wajukuubtatizo.
Hamuoi kutuzalia wajukuu.
Hamna nguvu za kuzalisha wajukuu.
Mnapiga moja chali matikeo yake tunawazalishia wajukuu zetu. Yaani tumewazaa nyie na tunazaa na watoto wenu.